Mkapa above the law?: Allegations

Hapana ulipaswa kusema kuwa, wewee kama mkazi wa London na unayemfahamu Balozi Kibelloh, umefanya utafiti na kujua kuwa hakuiba picha alizosingiziwa, kwa sababu wewe binafsi uimeenda pale ubalozini kabla hajondoka na una uhakika kuwa hakuiba picha yoyote, na hii hadithi ni uongo, FULL STOP!

Kwenye RO, mbona ulikuwa unajua maneno ya kusema sasa hujui kwenye Kibelloh, unafikiri ni kwa nini niliileta hiyo issue? The rest sio issue kwa hiyo nitakuachia mwenyewe, nataka issues za kuwasaidia wananchi hapa, sio utafiti wa ki-utoto!
 
Hii "Posta ya Zamani" ilikuwa anunue nani? Manji tena au?

Mtoto wa Anna Mkapa alishaondoka Simu 2000 Ltd?

Ripoti ya kuanzishwa Simu 2000 Ltd mmeiona?


Dar cancels sale of historical Old Post Office

By FAUSTINE RWAMBALI
The EastAfrican


THE Tanzanian government has cancelled the intended sale of the German-built Old Post Office, one of Dar es Salaam city’s best-known historical landmarks.

In addition, the government has ordered that the building revert to the ownership of the Tanzania Posts Corporation (TPC) to preserve it. This has ended a five-year feud between two companies incorporated to pave the way for the privatisation of Tanzania Telecommunications Company Ltd (TTCL).

The two were TTCL and TPC. A third company, Simu 2000 Ltd, was created to dispose of TTCL's assets to pave the way for its privatisation. It has been selling the parastatal's properties since it became operational.

Simu 2000 director of finance and administration Costantine Kalipeni said it has been decided that the Old Post Office be given back to TPC.

He said all that remains is to formalise the transfer process, including government documentation, and to officially gazette it.

The Old Post Office, a late 19th century structure put up during German rule, is situated in the prime seafront city centre district of Dar es Salaam. The building at Plot No.5 Sokoine Drive served as the first German General Post office for the whole of Tanzania, Rwanda and Burundi. It continued in the same capacity during British rule and for many years after independence. It now houses TPC, TTCL and several private companies.

Following the tug-of-war among the three companies, the parliamentary Committee on Infrastructure intervened, recommending to the parent ministry that the building be given back to TPC.

At the time of divestiture of the former Tanzania Posts & Telecommunications Corporation (TPTC) in 1994, it was decided that its assets be divided between TTCL and TPC on a 7:3 per cent ratio, a decision that was disputed by TPC.

TPC claimed that the 7:3 ratio was unrealistic because it denied TPC some buildings in strategic business locations.

Simu 2000 Ltd was established by an Act of Parliament under the Public Corporations Act, 1992, which came into operation on February 23, 2001. Under the Act, Simu 2000 was incorporated under the Companies Ordinance. All non-core assets, personal assets, liabilities and pending proceedings vested in TTCL were with effect from February 23, 2001 vested in Simu 2000 Ltd.

TTCL assets worth Tsh19.506 billion ($15 million) were to be sold. They ranged from residential houses and office buildings to warehouses and workshops.

The company was given the task of finding the money to pay pensions to over 1,000 ex-EAC staff. At the time Simu 2000 started operations, the outstanding liability for the Non-Contributory Pension Scheme originating from the East African Posts and Telecommunications stood at Tsh8.901 billion ($68.5 million).

According to Mr Kalipeni, by March this year, Simu 2000 had sold core assets worth Tsh15 billion and the EAC ex-staff had been paid pensions amounting to Tsh10.9 billion ($83.8 million).

In March this year, the government formed an eight-man probe committee to investigate the formation of Simu 2000 Ltd. The team is headed by Engineer Augustino Kowero of the Ministry of Infrastructure.

But as of last week, six months after the probe committee started its work, the findings have not been made public.


Source: The East African 9-15 October, 2006
 
atalaaniwa yeye atumiaye madaraka yake vibaya. kujenga au kununua mansion SA na kujenga, kukarabati na kununua nyingine ndani ya Tanzania au nje ni vielelezo tosha kwamba fwedha za walipa kodi wa bongo zimemuwia nyingi sana na hajui azifanyie nini na kama msingi wa yote hali ni mbaya si kwa nchi tu bali kwa mhusika pia.
aluta continuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Geneva, 17 October, 2006

Mr. Benjamin William Mkapa, former President of Tanzania, has assumed the office of the Chairman of the Board of the South Centre – an intergovernmental body of the developing countries. President Mkapa takes up this leadership role from Dr. Boutros Boutros-Ghali, who has served a full three year term.

President Mkapa was elected by acclamation for a regular term of 3 years as the new Chairman by the Council of Representatives, which consists of representatives of the 51 developing country Member States of the Centre, at their meeting held here last evening.

“This decision of yours is a great honour and an enormous privilege to me, for I know I am being asked to walk in the footsteps of great personalities who have assumed this Chair in the South Centre in the last ten years,” President Mkapa told the Council of Representatives. “Having worked under the founder Chairman Julius K. Nyerere and worked with the immediate past Chairman – Dr. Boutros Boutros-Ghali – with him as a Fellow Foreign Minister and with him as the Secretary General of the United Nations, I feel very much at a disadvantage in walking in their footsteps. I just hope that some of the enormous skills and wisdom that they have displayed in their leadership role will, by my association with them, have rubbed some of it on to me.”

Over the last three years, President Mkapa has served on a number of international Commissions and panels of Eminent Persons on maters of interest and vital concerns to the international community. He was Co-Chair, along with the President of Finland, of the Commission on Social Dimensions of Globalisation set up by the International Labour Organization; subsequently, in the Commission for Africa to help eradicate poverty in the African continent; and then on the recent Panel which was reviewed the work of UNCTAD to see how its role can be strengthened in the immediate future in the light of the anticipated reform of the United Nations institutions and structures.

Currently, he is involved in the conclusion, along with colleagues, of a report on the efficiency and coherence of the United Nations and its Institutions and Agencies and their operations in the areas of Development, Humanitarian Assistance and Environment.

“One conclusion that I made out of these undertakings was the fact that we have a long way to go to build that bridge between the North and South and between South and South, in order to bring about a more just, equitable, prosperous and peaceful world community of nations,” President Mkapa said. “And because of the representations that I have had, I have also been confirmed in my view that the Centre’s mandate is far from obsolete. On the contrary, I believe that it is more in need now than it has ever been before.”

A number of Council Representatives paid tributes to Dr. Boutros Boutros-Ghali and welcomed President Mkapa as the new Chairman of the South Centre Board. Upon request by some of the member governments, President Mkapa will be meeting with the Council members in the next few weeks. The new Chairman also met with the Board members this morning as well as with the staff of the Centre.
 
On this, I must congratulate Mr. Banjamin William Mkapa. Of course, the guy, despite the blunders he did at home, he made a big name in the international community. However, I wonder if he will even come close to fitting in the shoes of his successors as he appeared to claim. This is because his ideals contradicts the very objectives of the Commission. The commission's central objective was, and I hope, still is, to help countries in the south prosper by uniting and blocking the channelling of their resources to the west. In other words, the commission works to alleviate the problem of exploitation that is perpetrated by the west through imperialism, which they now days call it globalisation. And Mkapa's ideals centre on furthering the very imperialism.
 
Mimi ninampongeza kama ambavyo ningempongeza alipopata uraisi. Wasiwasi wangu ni asijeakatuangausha huko. Nadhani hawa wanadhani kwa kuwa alimfuatilia Mwalim Nyerere kama mlolongo watatu wa uraisi wa Tanzania basi anastahili kufanya vivyo hivyo kama mlolongo wa tatu wa uenyekiti wa SCB (just adding spice). Akivuruga huko sifa zote za Tanzania zilizojengwa na Mwalm Nyerere katika nyanja hizi za Kimataifa zitadidimia duuu. Hivyo tumuombeeni Mungu afanikiwe; huyu bado ni Mtanzania ndugu yetu na ufanisi wake nje ni heshima kwetu sote.
 
Well,

Kilaza kaukata; amezoea kupata kiulaini. Nakumbuka alikuwa ameombwa asaidie kutatua matatizo ya kiuchumi ya Zimbabwe. Nikasema hawa jamaa wanaleta utani; Simbabwe in per capita income ya $2500 na sisi tuna per capita income ya $600, je Mkapa atawafundisha nini kama siyo kutania.


Je sasa atakuwa anaishi wapi: Masasi, Dar, Lushoto, Machame, South Africa, au Geneva.
 
Mkapa amepata alichotaka!

Siku zote hizo zilikuwa ndoto zake alitaka naye apate nafasi za kimatifa kwa gharama zote!
hata kwa kununua radar mbovu huko UK!

Hongera BMW.
 
You said it Mkira! Mie hapo sina la kuongeza.

Nadhani sasa atakuwa analenga ukatibu wa UN.Mungu Ibariki Tanzania!
 
Mkira said:
Mkapa amepata alichotaka!

Siku zote hizo zilikuwa ndoto zake alitaka naye apate nafasi za kimatifa kwa gharama zote!
hata kwa kununua radar mbovu huko UK!

Hongera BMW.


Actually Mkapa has always craved to be an international statesman na nadhani bado anayo nafasi hiyo na haswa ukizingatia his interlectual capability

Kwani radar mbovu? mbona haijaripotiwa?
 
wewe mganga huu kama hina lako sasa unaishia kuuliza who? Why ? When ? where ? nadhani wewe ni kijana umezaliwa miaka ya 90 na wewe unayo yasema hapa ni baada ya kuyasoma humu ama kusikia ila huna historia , kumbukumbu wa ujuzi na ujuvi.Wenzio wakija hapa wanakuja na historia , na mambo ya kusikia na kusoma ndipo wanaandia . Kuna mahala nimesoma ukiwa hujui Prof. Malima na visa vyake akiwa na Kapuya leo hujui rada kama ilisha kufa na unataka uelezwe wewe ni nani na unakaa ughaibuni hata ya hapa nyumbani huyajui ?

Nakupa kwa kukusaidia. The radar was bought by Mkapa aliyekuwa Rais wa msaidizi wa UK kule Tanzania maana he took orders na kutuuza all the time . We paid 40m USD or pounds . Wale na Bunge lao walipinga Tanzania kuuziwa radar kama ilivyokuwa kwa Gulf stream lakini alisimama Mbunge wa Kiingereza akasema anaunga mkono watanzania kula majani lakini radar inunuliwe ili kuponya maisha ya wa waingereza 200 wa jimbo lake la uchaguzi . Sisi more than 30m si watu ila Wanyama kwa jinsi CCM na Mkapa walivyo tufanya .

Radar ilikufa only 15 minutes to be innaugurated baada ya umeme kukatika kwa dakika 5 and the radar never recover maana matengenezo yake lazima mtaalam aje toka UK na kila akila ni 60m sasa kazi kwako .

Huyu huyu mtu wako wa kimataifa unajua alinunua Utra Sound toka Holland chini ya shinikizo la kampuni ya Phillips ? Kila Wilaya na Hospitali ya Tanzania ilipewa machine hizi na hazija fanya kazi hadi sasa maana kwanza hakuna umeme na pia wanao taka kuzitumia hawapo maana hufa njiani hata kabla ya kufikishwa hosp kwa kuwa wanakaa mbali sana sana na huduma na hakuna barabara.

Sasa baada ya ununuzi ule nilikutana na mzungu mmoja akasema Mzee Chingwanji serikali yenu ina akili ama Rais wenu ? Nikasema why bwana .Akasema nilikuwa Tanzania maeneo ya Mtwara kumbe kuna watu hawajawahi kuona gari wala mzungu ? Kumbe kuna watu wanalala hosp ikiwa madirisha wazi na walala kwenye sakafu bila hata godoro lakini wako hospitali huku mnanunua Utra Sound ? Kumbe kuna maeneo huku Mtwara wanafunzi 200 wote wana mwalimu mmoja ?

Huyu ndiye Mkapa wa CCM ambaye ni mtaalam na mwenye sifa nje ya Tanzania aliyemwachia JK kiti na yeye sasa kaaza kucheza kamali .Wewe Mganga huu tafadhali wacha ndugu
 
jasusi niko sure na kitu gani ? Kuwa specific kama na habari yote nasema ndiyo niko sure na karibu nawe kama una data zako tofauti .
 
Mzee Es said:
Hii habari ya hotel ndio mara yangu ya kwanza kuisikia, unless mzee ulishawahi kuitoa huko nyuma, hebu tufafanulie habari ya hotel je walisema na mtoto wake anaishi kwenye hiyo hotel?

Kama vile tunavyojua jinsi watoto wake wawili Nico na Steve, wanavyoishi kule Msasani?

Au kuwa jinsi mtoto wa mama anavyoishi kule South Africa?, Halafu mbona unajikanyaga, at one point unasema "kama ni kweli", meaning kwamba hujui halafu mwishoni unahukumu kuwa "Si kweli", nafikrii the best hoja ilipaswa kuwa sijui,

hatukuisema bure kuwa kijana Peter, mtoto wa mama anaishi kule tayari bila sababu! Na hata yote ya lile "FAILI" yanafahamika, haya ya nyumba ni madogo sana kuliko ambayo hujaambiwa, na kama nilivyosema mwanzoni hatuna mpango wa kubishana kitoto!

Mzee Es unanichanganya hapa kuhusu hawa watoto. Unasema watoto wa BM ni Nico na Steve, halafu mtoto wa mama ni Peter. Huyu Peter baba yake nani, na hawa Nico na Steve mama yao nani? Nahitaji tu kufahamishwa maana kuna tetesi huwa nazisikia kwamba kuna kigogo fulani ndio alipewa tenda ya kuzaa na mke wa BM watoto, na amepewa ujira wa kuhakikishiwa ulaji ktk serikali hadi atakaposhindwa mwenyewe. Na huyo kigogo anavyoonekana wazi kulindwa ndani ya govt mtu yeyote anaweza kuamini pengine yaweza kuwa ya kweli haya! Sitaki kuamini kwamba kuna mwanaume anayeweza kukubali jambo kama hili juu ya mkewe, lakini hizi tetesi nimezisikia sana. Nisaidie tafadhali!
 
kithiku


mbona hujamtaja huyo mtoto aliewakataa wazazi wake kule Amerika?

si jambo la kulifurahia kwani laweza kutokea kwenye familia yoyote lakini walifanya makosa kutofanya jitihada zaidi walau wangempleleka kwenye rehab

anyways that life
 
Unless kuna something sielewi, Mzee wangu ninajua kuwa Peter ni mtoto mkewe alimzaa na Waziri Mramba, kabla ya kukutana na BM, baada ya kuolewa na BM aliwazaaa Steve na Nico,

Na BM anao kina mama kibao nje ya mkewe, ila hana watoto wa nje!
 
Mzee Es
Nashukuru kwa jibu hilo, angalao kwa kiasi nimetambua kwamba tetesi nilizokuwa nikizisikia zilikuwa na kiasi fulani cha ukweli, kwamba huyo Mramba anahusika katika familia ya BM.
Napenda kuwapa salamu zangu wote tuliokuwa tunakutana kipindi fulani katika forum ya bcstimes nikianza na wewe mwenyewe, Sam, Augustine Moshi, Mwanasiasa, Mkandara, Fikiraduni, na wengine wengi. Kwa kipindi fulani nimekuwa sionekani katika kuchangia kwa sababu ya mazingira fulani niliyoko sasa hivi, lakini huwa nazisoma entry zenu mara kwa mara. Nawapongeza nyote, na nina uhakika michango inayotolewa humu ina influence kubwa katika mambo mbalimbali tunayoyaona yakitokea na yale yaliyokuwa mbioni kutokea.
 
kuna mtoto wake wa kike naona naye hatajwi kabisaa katika duru hizi

yaani wameamua kumfuta kabisa

too bad
 
sasa kama ni mkapa kashastaafu na hakuna ajabu kuwa na nyumba ngambo.mbona kuna viongozi wengine wa nje wana nyumba na miradi bongo? ili mradi mtupe proof kwamba amenunua na pesa hARAmu, kuhusu mtoto wa kufikia sio ajabu ukimkuta mkeo na mtoto ni mwanao,yeye vilevile,hakuna la ajabu,kama mmeshasema na yeye aliweka wake wawili..ukipenda tunda penda na mti wake.

hatukatai mkapa kafanya makosa,lakini pia meme yamezidi ,,,kuliko kupoteza muda kumjadili,tutakuwa tunamsaidia sitting president kwa kumpa constructive critisism,kwa sababu wapinzani si wamelala.

mkapa sasa amepokea kiti cha boutrous ghali cha chairman south commission mkumbuke mwalimu pia amewahi kuwa mwenyekiti wa tume ya kusini.

WANANCHI WANAMKUMBUKA MKAPA HUKU USWAHILINI.,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom