Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,393
- Thread starter
- #21
Nakupa TANO Mkuu........................Akili mu Kichwa. 1: Kuwa mtulivu. 2: Mfuatilie Huyo Bibie ujue anaishi wapi 3a: Mfuate siku nyingine ili akupe ABC. 3b: Anza kufuatilia nyendo za mkeo 4:iwapo Bibie atakufafanulia ukweli wa tuhuma zake, zifanyie kazi kwa utulivu mkubwa bila kusukumwa na hisia. 5: Fanya maamuzi ya Busara (iwapo ni kweli kwanini ametoka nje? Je chanzo ni wewe au ni tamaa tu) 6: Kama ni tamaa tu, Kaka PIGA CHINI FASTA
Nilikuwa nasubiri jibu la aina hii.........................