IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Bofya hapa ili uweze kusoma chapisho ili zuri sana: http://www.sikika.or.tz/en/cms/functions/files/publication284.pdf
Naona kwenye Channel Ten wanaomba radhi, ni kweli au danganya toto
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Haya sasa mliokuwa mnatokwa mishipa na povu,oooh ulimboka shujaa wa taifa,nlijua tz hakuna kitu huwezi kudai uhuru wakati una njaa'haya wafuasi wa cdm mnaopenda kushabikia kila mwenye mgogoro na serikali isipokuwa waislam tu,hapo roho zimewauma sana na mtavimba sana chezea gambaz wewe!!!
Kwanza kabisa nasema ahsanteni madokta kwa kuomba radhi kwa yale mliofanya na kufanyiwa. Nasikia wakiomba radhi kwa matokeo yoyote mabaya yaliyosababishwa na mgomo wao halali wa kudai haki zao kulingana na facts walizoziorodhesha.mimi nauliza je WAO WATAOMBWA NA NANI RADHI KWA ADHA NA UTATA WA MAISHA MAGUMU YA KIKAZI YALIYOPELEKEA MGOMO? ULIMBOKA ATAOMBWA RADHI NA NANI? TATHMINI YA MGOMO UPANDE WAO NI IPI +ve and -ve? Nakumbuka ulimboka alisema ngoja apone atafunguka juu ya ajali yake,naomba mulizeni atafunguka lini?
Katika historia
waliyoiweka jana, watu hovyo Tanzania ni madaktari. Ulimboka msaliti No.
1! Ina maana walikuwa wanafanya kitu ambacho si halali? Arrogance yao
inawaponza kujiona bila wao tanzania/dunia haipo. Unaweza kuomba radhi
kikubwa sio kama walivyofanya kama watoto wa chekechea. Ndio maana
wanapasua kichwa badala ya magoti