Mkanganyiko TCU

Kijana YAHAYA A.YAHAYA yuko kwenye list ya waliokosa 1st selectio yet yuko kwenye ile ya waliochaguliwa UDOM.Unamshauri afanye nini?
sasa hapo kaka nakushauri uwachek tcu wenyewe either face to face au kwa simu...nadhan watakupa jib sahihi!!!! ur welcome....
 
Mpendwa hujaambiwa uende kwenye my profile. Kwa nini unajipa instructions ambazo hujapewa? Fuata maelekezo. Wangesema kabisa kuwa ukisha login, nenda kwenye my profile, then if......................HAWAJASEMA hivyo.
kumbuka wao wamesema kuwa second round ikiwa active inamaana unatakuwa ujaze upya. Kama kwenye iko active sehemu moja na sehemu nyingine iko faint nifuate ipi maana kote kuna taarifa
 
kumbuka wao wamesema kuwa second round ikiwa active inamaana unatakuwa ujaze upya. Kama kwenye iko active sehemu moja na sehemu nyingine iko faint nifuate ipi maana kote kuna taarifa

Hongera sasa wametoa rasmi. Umepata wapi. Unaona fuata maelekezo muda wote. Sasa maelekezo yametoka.
 
Kuangalia Selection nenda chuo ulichoomba. Udom washatoa, ukisubiri TCU itakula kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom