Elections 2010 Mkanganyiko ITV, Star Tv na TBC1

TBC hawana aibu hebu fikiria kila siku asubuhi kwenye uchambuzi wa magazeti lazima kila mchambuzi(msoma magazeti) aanze na gazeti la Uhuru. Sasa hapo utasema ni chombo cha uma , tumeingiliwa.

Yule TIDO MHANDO aliyekuwa RTD na baadaye akaenda BBC akawa anaweza kuendesha mahojiano ya mambo mbali mbali kwa umahiri mkubwa nadhani sio huyu wa TBC1. Huyu wa sasa ni hovyo kabisa maana taaluma kaiweka kapuni na badala yake anatekeleza matakwa ya aliyemteua. Ole wake CCM iangukie pua hapo tarehe 31 octoba 2010. YEYE naye lazima ang'olewa, hafai kabisaaa
 
Alikimbia RTD wakati wa Mwalimu.....nadhani mishiko aliianza longi sana huyu
 
Sioni sababu ya kuendelea kutizama hiyo TV ya kibaguzi, tuwaachie wanaCCM TV yao, inakera sana kuona kituo cha umma kina geuzwa kuwa mali ya watu flani!
 
Kuna huyu jamaa anaitwa Joe Kihampa..the guy is so stupid! Wakati wa uchambuzi wa magazeti anaanza magazeti ya chama na yale yenye habari positive za CCM basi anatumia muda mwingi sana kusoma hayo, afu wakati muda unaisha ndo anashika magazeti mengine na habari hazisomi kiufasaha na kiundani kama zile za CCM!! Pumbavu sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom