Elections 2010 Mkanganyiko ITV, Star Tv na TBC1

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
HII KWANGU NI AJABU!
nilichoona cha ajabu jana kwenye taarifa za habari itv,star tv na tbc1 ni kuwa.................tbc1 ilionesha kuwa mkutano wa chadema kulikuwa watu wachache saaan wakati itv na star tv kulionekana watu wengi kupita kiasi mpaka WANANCHI WALIAMUA wasukuma gari la dr.slaa........najiuliza?
-HV TBC1 WANAFANYA HAYA MAMBO KWA MASLAHI YA NANI?
-KUNA UKWELI WOWOTE KUWA HII SIYO TELEVISION YA TAIFA BALI YA CCM NA AKINA ROSTAM?
-NINA HAKIKA KUWA BAADA YA KUONA UMATI MKUBWA SANA WA WATU WALIONA WAELEKEZE KAMERA ZAO UPANDE AMBAO ULIKUWA NA WATU WACHACHE
-LAKINA KWA CHOMBO HIKI KINAFANYA HAYA?
 
Kuna upigaji kamera wa kuchakachua pia!....na unategemea nini KAMA mtu anapiga picha huku ana koti NYUMBANI limeandikwa "chagua JK"?...nAKUSHAURI USIANGALIE TBC1 especially kwenye Taarifa ya habari!...
 
Nimekoma!
kuna upigaji kamera wa kuchakachua pia!....na unategemea nini kama mtu anapiga picha huku ana koti nyumbani limeandikwa "chagua jk"?...nakushauri usiangalie tbc1 especially kwenye taarifa ya habari!...
 
HII KWANGU NI AJABU!
nilichoona cha ajabu jana kwenye taarifa za habari itv,star tv na tbc1 ni kuwa.................tbc1 ilionesha kuwa mkutano wa chadema kulikuwa watu wachache saaan wakati itv na star tv kulionekana watu wengi kupita kiasi mpaka WANANCHI WALIAMUA wasukuma gari la dr.slaa........najiuliza?
-HV TBC1 WANAFANYA HAYA MAMBO KWA MASLAHI YA NANI?
-KUNA UKWELI WOWOTE KUWA HII SIYO TELEVISION YA TAIFA BALI YA CCM NA AKINA ROSTAM?
-NINA HAKIKA KUWA BAADA YA KUONA UMATI MKUBWA SANA WA WATU WALIONA WAELEKEZE KAMERA ZAO UPANDE AMBAO ULIKUWA NA WATU WACHACHE
-LAKINA KWA CHOMBO HIKI KINAFANYA HAYA?

Gonga Hapa https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/72098-tbc1-si-shirika-la-umma.html#post1079463
 
HII KWANGU NI AJABU!
nilichoona cha ajabu jana kwenye taarifa za habari itv,star tv na tbc1 ni kuwa.................tbc1 ilionesha kuwa mkutano wa chadema kulikuwa watu wachache saaan wakati itv na star tv kulionekana watu wengi kupita kiasi mpaka WANANCHI WALIAMUA wasukuma gari la dr.slaa........najiuliza?
-HV TBC1 WANAFANYA HAYA MAMBO KWA MASLAHI YA NANI?
-KUNA UKWELI WOWOTE KUWA HII SIYO TELEVISION YA TAIFA BALI YA CCM NA AKINA ROSTAM?
-NINA HAKIKA KUWA BAADA YA KUONA UMATI MKUBWA SANA WA WATU WALIONA WAELEKEZE KAMERA ZAO UPANDE AMBAO ULIKUWA NA WATU WACHACHE
-LAKINA KWA CHOMBO HIKI KINAFANYA HAYA?

Usiwalaumu TBC 1 kwani mpiga picha wao yuko internship....kwa hivo bado hajaboboa kwenye kuchukua matukio, hasa ya Chadema!
 
Hawa jamaa wana dhambi mbaya....................mbona ya ccm wanayalazimisha na kuonesha tu penye watu wengi?.......tutawahukumu kwani siku zao zaja na sasa zimeshafika waache kuwatukana watz kwa tuhela twao walitopewa twa epa .......
usiwalaumu tbc 1 kwani mpiga picha wao yuko internship....kwa hivo bado hajaboboa kwenye kuchukua matukio, hasa ya chadema!
 
siamini..............na sijui tuwafanye nini hawa?......au kwa kuwa watz harujui kudai haki zetu?.......
Kwa sasa TBC wanajitahidi jamani. Mnaofahamu tulikotoka tangu ile 1995 hadi leo 2010 yapo maendeleo. Kwangu taarifa ya habari nzuri ni ya TBC1 ambayo wakati mwingine inatuwekea wachambuzi wa siasa zetu, wanatoa muda kidogo kwa wahusika kuongea,....., tumetoka mbali!
 
TV stations karibia zote zina upendeleo wa ajbu sana kwa CCM.
Hakuna hata yenye afadhali, wasipo'chakachua' kwenye taharifa ya habari 'watachakachua' kwenye makala.
 
Kwa taarifa yako hata hizo jumbe wanaangalia zile tu zinazoisifia ccm......mimi nilikuwa natuma sana tena mapema lkn hata siku moja hawajawahi kusoma meseji zangu........aibu......kwako kunyang'wea haki yetu na kuendelea kutupotosha ni maendeleo.........ndiyo maana hata ccm huwa wanasema uchumi umekuwa wakionyesha vitambi vyao............
kwa sasa tbc wanajitahidi jamani. Mnaofahamu tulikotoka tangu ile 1995 hadi leo 2010 yapo maendeleo. Kwangu taarifa ya habari nzuri ni ya tbc1 ambayo wakati mwingine inatuwekea wachambuzi wa siasa zetu, wanatoa muda kidogo kwa wahusika kuongea,....., tumetoka mbali!
 
TBC1 ni SU na bila serikali hii hawajaishi, hizo picha wanaweza kuzichakachua kama PJ alivyosema na haswaaaa ndivyo wanavyofanya, ITV na Star TV wao wanaweza wakawa wakweli zaidi kuliko TBC1, mi siwaamini kabisaaa.Kumbuka Mhando alitolewa BBC swahili na JK kuja kupiga kazi pale TBC1,Je mnatarajia atamlinda nani kama si JK na serikali yake? LAKINI TUNASEMA "HATUDANGANYIKI".:A S 100:
 
hawa jamaa wa TBC kwa kweli wanakera sana, hata nilipokuwa nikiangalia uzinduzi wa kampeni wa NCCR - mageuzi hali ilikuwa hiyo hiyo wakati ukweli ni kwamba watu waliokuwa wamehudhuria pale viwanja vya Tanganyika Packers walikuwa wengi tu na mimi nilipita pale mida ya saa kumi na 2 kasoro hivi, nikashuhudia mwenyewe, lakini nilivyokuja kuangalia TBC hali ilikuwa ni tofauti.
 
sana sana,kumbe nii we uliiona.....mi ile saa moja kamili niliangalia channel te.,dah e bana bonge la nyomi ,yani nyomi mbaya,hali hii ikanipelekea kuisubiria taarifa ya habari ya saa2 usiku tbc,yaani nilichokiona sikuamini asilani!!!! hii ni zaidi ya uchakachuaji wazee!! yaani pale mkutanoni walionyeshwa watoto na baadhi tu ya watu,hii sijui imekaaje?
 
Ivi hawajui my PAYEE regardless of the party I belong ndo inawaweka mjini?
 
nyie acheni tu ccm mwaka huu baaasiiii....wasuburi miaka ijayo na wajiandae kuwa wapinzani wakubwa wa chadema.......wanahaha sana....mbona wanasema wanakubalika wakati wanatumia giriba kiasi hiki?.........sisi chadema hatuna hata mabango lkn watz wenyewe wanikubali kwa kuwa wamechoshwa na porojo na uongo wa kikwete na tbc1 wako nyuma yao......
sana sana,kumbe nii we uliiona.....mi ile saa moja kamili niliangalia channel te.,dah e bana bonge la nyomi ,yani nyomi mbaya,hali hii ikanipelekea kuisubiria taarifa ya habari ya saa2 usiku tbc,yaani nilichokiona sikuamini asilani!!!! hii ni zaidi ya uchakachuaji wazee!! yaani pale mkutanoni walionyeshwa watoto na baadhi tu ya watu,hii sijui imekaaje?
 
Ni kweli unachosema kwani hata hapo kabla tulikuwa tunaiponda itv namna ilivyokuwa inapendela kwa uwazi ccm na tulijiuliza yuko wapi mzee mengi anusuru chombo chake na wahuni wachache waliochukua chao mapema?...sasa pengine kidogo lakini walisha chafuka huko nyuma
tv stations karibia zote zina upendeleo wa ajbu sana kwa ccm.
Hakuna hata yenye afadhali, wasipo'chakachua' kwenye taharifa ya habari 'watachakachua' kwenye makala.
 
Jamani CCM ndio wanaowaweka hapa mjini mnadhani watafanyaje kama si kupendelea aliyekuwa madarakani?Hata chama cha upinzani kikichukua nchi itakuwa vivo hivyo kwa kupendelewa hasa wakati wa uchaguzi kama huu.Cha msingi ni kuangalia namna ajira zao zinavyopatikana si kwa style hii ya uswahiba mnapeana chombo cha umma kinacholipiwa na wananchi wote huku mkitaka kupendelewa wakati fulani mkiwa na shida
 
sana sana,kumbe nii we uliiona.....mi ile saa moja kamili niliangalia channel te.,dah e bana bonge la nyomi ,yani nyomi mbaya,hali hii ikanipelekea kuisubiria taarifa ya habari ya saa2 usiku tbc,yaani nilichokiona sikuamini asilani!!!! hii ni zaidi ya uchakachuaji wazee!! yaani pale mkutanoni walionyeshwa watoto na baadhi tu ya watu,hii sijui imekaaje?

Mimi siangalii TBC1, kwani kwangu hata chaneli yake namba saba nimeichakachua, na ni marafuku kwa yeyeto kuisearch.
 
Best huielewi hii TV? Ni kama tawi la ccm ndo maana wanakuwa biased. Kumbuka huyo mkurugenzi wao aliletwa na mgonjwa wetu toka alikokuwa, so anatetea meza mkuu na ndo maana hata waloko chini yake wanafanya atakavyo. Kubwa ni kuwapiga chini na tuendelee kuwasubiri hadi 31st Okt mtaona kama hawatajiunga nasi kuimba nyimbo za ukombozi wa nchi yetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom