Mkanganyiko: Dr.mponda na lukuvi kuhusu babu wa loliondo

Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Wewe utakua mgonjwa.
 
Watz tuacheni lawama na kubatizana! Udhibitisho upo wa kumwita babu "mshirikina"? Kama watu wanapona, basi mwachen babu akae kama alivyo sio kumkatia majina lukuki. Mbona waganga wengine wamekua wakizuga kuwa wamegundua dawa na hakuna ushuhuda wa hata mmoja alepona? Babu yetu watu wanarudi na wamepona kabisa, hakuna kisukari wala pumu tena, vyote kwisha kabisa. Lets call a spade spade, not a big spoon. Hata neema ikija tunalalama?
 
Nimekusoma Mkuu, kuna mijitu ikipata tabu inalalama ikpata neema pia inalalama. Hawana jema, hao Mkuu.
 
Hii ni aibu, ni kuutangazia UMMA kuwa Mawaziri wetu hawajui mipaka ya kila mmoja na hawajipangi!!!! anaweza kuagiza. Lakini Wizara za akina Lukuvi, Tyson ziangaliwe sana hazina specific mipaka ya kazi zao.
 
Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Baada ya kupata tiba mnaanza kumwita mshirikina, acheni hizo. Waacheni na wengine wakapate tiba msiwa confyuzi.:smash:
 
Hujui maana ya ushirikina wewe ni mbabaishaji tu! ina maana huamini kama Mungu anaweza kumfunulia mtu kuhusu jambo fulani! kama Mungu unaemuamini wewe hawezi ujue umepotea! Yule babu hajafanya siri kuhusu mmea anaoutumia kwa dawa na hata jinsi ya kutengeneza dawa ni wazi tu, unachemsha mizizi yake halafu anakupa "supu" yake ni lazima akuchotee yeye mwenyewe vinginevyo huponi, huoni maajabu ya Mungu hapo! halafu bei sawa na bure, jero tu, wengi wanaimudu bei na hakuna aliyelalamika kuhusu gharama! Na mmea wenyewe kaupanda mbele ya nyumba yake watu waone, sio siri kama wafanyavyo waganga wa kienyeji ambao wanarithishana "utaalam" kwa mtoto,mjukuu,binam n.k, ingekuwa jambo la kawaida basi leo hii dawa hiyo ingekuwa mitaani inauzwa kwa bei ndefu tu lakini haitoponya kwa kukosa upako wa kiungu, karama hiyo kapewa babu! we hushangai kwani huo mmea kaumba babu?! ni Mungu kaumba lakini mbona dawa ikitayarishwa na mtu mwingine haitibu ila babu tu! maajabu ya Mungu na si ushirikina. Rejea maandiko matakatifu, YESU alichanganya udongo na mate na tope lake akampaka mwenye upofu akapona, je huo ni ushirikina? na je hata leo mtu yeyote akifanya hivyo itawezekana? tofautisha suala hilo na uchawi na unajimu.
 
Ushirikina ni kusema Dawa umepewa na mungu na lazima wewe mwenyewe utoe hiyo dawa ndio watu wapone wakati mungu ndio mponyaji na anaweza kumponya mtu bila ya kunywa hata hiyo dawa. Nadhani nimefafanua hoja ya Arafat.
Baada ya kupata tiba mnaanza kumwita mshirikina, acheni hizo. Waacheni na wengine wakapate tiba msiwa confyuzi.:smash:
 
Babu wa Loliondo ni mshirikina kama shehe Yahya.

.......Kama ni hivyo basi, mbona yeye hafanyi miujiza hiyo?

Si vyema kuleta mzaha dhidi ya utendaji kazi wa MUNGU, na wala nguvu na utendaji wake havichunguziki kwa akili za Kibinadamu!

So, please do not engage in a clever meeting.......
 
Baada ya kuwapambanisha hao weka na hawa pia! Pinda Vs Magufuli! Mmoja anasema nyumba zibomolewe Pinda anasema zisibomolewe! na bado watakuja wengi,
 
.......Kama ni hivyo basi, mbona yeye hafanyi miujiza hiyo?

Si vyema kuleta mzaha dhidi ya utendaji kazi wa MUNGU, na wala nguvu na utendaji wake havichunguziki kwa akili za Kibinadamu!

So, please do not engage in a clever meeting.......

Wakuu mbona tunatoka nje ya mada?
 
hata huyu chini amepona kabisa........

hawa serikali wapuuzi sana...walitaka kuleta maafa bure
 
A few things are clear
1. Hatuna serikali makini inayoweza kujipanga kabla ya kurespond kwa kukurupuka
2. Serikali hii haina msemaji. Mfano je Lukuvi amefafanua au amekanusha ya Dr Mponda? Shangaa hotuba ya rais inafafanuliwa na waziri.
3. Serikali yetu inaishi dunia nyingine wala haina wajibu kwa raia wake. Wao ni kwa ajili yao
 
Kwa kupenda vya bure hatujambo!! yaani babu kuwatoza jero tu imekuwa nongwa? lakini wale wanaowauzia ASPRIN kwa buku hio ndio dawa! Kama ni mwenye dhambi sijui ila najua neno moja....nalikua kipofu na sasa naona!
 
Acheni upuuzi, kwani kuna mtu kafungwa kamba aende kwake? acheni kushabikia ujinga, kama hutaki si ukae kimya? eti hakuoteshwa, eti anadanganya!!! poa danganya yake si ndio pona yako? na wewe danganya ili tuje kwako!
 
Babu ana ugonjwa wa akili anahitaji huduma ya mirembe.

Yaelekea ana Schizophrenia maana anasema anaongea na mungu na ametokewa na mungu na amemuona mungu. mh!!!! ni vigumu sanaa!!! kukusadiki but unajua maradhi ya akili kama haya humfanya mtu ubongo wake kuona anamuona mungu hata kiukweli hamuoni. Kama amemuona mungu atupatie basi wasifu mungu ukoje, je yuko kama sisi? Huu ni ushirikina tu na mtakuja kutwambia akili zenu zikiwapambanua.
 
wewe utakua umetumwa,wanaojua magonjwa hawasemi,,au haujawai ugua au kuuguliwa ndo mana

Nimewahi kuugua na nina nina ndugu wanaouguliwa but unajua sie tunaoamini mungu yupo vile vile tunaamini maradhi ni sehemu ya kuitwa binaadamu na hivyo tunakuwa tunavumilia hadi tiba itakapopatikana. Tiba inatolewa na mtu yeyote na sio kibabu loliondo. Hao unaowaona hapo Loliondo wanakitu kinaitwa mpambauko wa kufikiri na huo unatoka na kukosa uvumilivu na subira na huwafanya akili yao kuwa inafikiri kwa kuongozwa na nafsi zao (kiufupi hawafikiri). In summary wako desperate na wanatafuta dawa hata za kiushirikina wapate kufurahisha nafsi zao na kuogopa mauti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom