Mkali wa r&b tanzania, cheki wimbo bora ya mwaka na video yake

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Rama Dee kwa uhakika hana mpinzani katika tasnia ya muziki wa kuimba,
hapigi kelele kama masharobaro, na wala wala habani pua
Kawashirikisha Kulwa na Dotto wa Mapacha, kisha niambie Mapacha wanajua kurap au hawajui? sikiliza punchline
nahisi wanabaniwa tu pia ila uwezo ni zaidi ya hao wanaowabeba...
sikiliza wimbo ulivyotulia na video yake kwa kuclick link hapa chini

http://www.youtube.com/watch?v=MtY0b7k8Dxg&feature=related
 
Jamaa anaweza sana na ninamkubali rt hajiamini harakati zake na hao antvirus zinaua uwezo wake
 
Siku zote Rama dee atabaki kwangu kuwa King or RnB Afrika mashariki na kati jamaa wa ukweli sana,album yake ile ya chini ya uvungu wa moyo wangu humo ndy amefunika vibaya.
 
Rama Dee ni noma.. kwangu pia anabaki kuwa King wa RnB East Afrika.

Sidhani kama kuna ngoma ya RnB itayoweza kufunika iyo track kwa sasa hapa Bongo.

Namtakia maisha yenye furaha yeye na familia yake uko Australia.
 
Naomba tuelimishane kidogo, hivi huyo Daimondo yeye anaimba muziki gani?

hapo mkuu umeuliza swali la msingi, kesho watakuja na kusema tena humu JF hakuna muimbaji bora wa rnb kama Diamond, wana JF wengine bana fuata upepo tu
 
Diamond haimbi r&b anaimba afro pop, mixture Kwaito na afro dans
Rama Dee kwa zaidi ya miaka 10 amesimama imara katika muziki huo wa r&b!
Kwangu mimi naamini baada yaa kuondoka kwa Paul Mbena mr.Paul jamaa ndo kaushika huu muziki!
Dogo mwingine anayefuatia kwa ukali wa R&B ni Belle 9, sema kwa kua anabaniwa tu hapewi airtime kama huyo dogo wa Ilala Ben Paul!
Kifupi Ben Paul anabebwa na media

Rama D kwa tanzania hana mpinzani labda kwa East Africa kwa mbali Michael Rose
 
Ebwana kweli majembe sana hayo!!! Ben Paul ni R&B singer Bora ila anapata promo na Rama Dee ametulia sema ndio hvyo hana promo!

Ni kweli nadhani ishu ya kuwascan virus ndo chanzo cha kumbania promo ila hata hao wabanaji bado wanamckiliza kwenye magheto yao.
 
namkubari sana rama dee na belle 9 ila uwa ninajiuliza mbona hawa wanajua sana lakini hawashine kama hawa wanaojua kawaida.
Mfano belle 9 kila ngoma anayo ikamatia chorus lazima ishine na hata akiimba live utataka aendelee kuimba lakin hashine kama inavyo takiwa.
 
Namkubali sana huyu jamaa ila kinachonishangaza bado hajapata tuzo ht moja, ila nadhan inatokana na rnb kutokuwa na mashabik weng tz. Big up rama dee tupo pamoja
 
Ndiyo huyu aliye paka sbuni kwenye tiles? Copy&paste?

Hila alicopy sanaaa!
 
Back
Top Bottom