Mkali wa KIDUKU Kupatikana leo!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
MAIMARTHA1.jpg
Ile fainali ya kumsaka mkali wa Kiduku 2010 inatarajiwa kufanyika leo ndani ya Ukumbi wa Travertine, ambapo mshindi ataondoka na kitita cha dola za Kimarekani 250.

Afisa uhusiano wa Kampuni ya Manywele Entertainment, waandaji wa shindano hilo, Maimartha Jesse ‘Mai’ alisema kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kuanza majira ya saa 2:00 usiku na itapambwa na Kundi la muziki wa mwambao wa Pwani, Jahazi Modern Taarab chini ya Mzee Yusuph.

Mbali na Jahazi, fainali hiyo itanogeshwa na Mabingwa wa soka Tanzania Bara 2009/2010 timu ya Simba ambao watalionesha kombe hilo, mshindi wa pili ataondoka na Music system ‘brand new’ wakati mshindi wa tatu atajinyakulia jezi kali za mpira wa mguu.
 
Back
Top Bottom