Mkakati wa Mh waziri Maige kuzui ubadhirifu Ngorongoro

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,712
1,906
Mheshimiwa Waziri Maige tumefurahia kuona mkakati wako wa kuzuia ubadhirifu wa matumizi mabaya katika mamlaka ya Bonde la hifadhi ya Ngorongoro, hapo tunakupa hai.

Lakini je unaweza kutupa data za mapato yote ya mbuga zetu hasa hiyo Ngorongoro na matumizi yaliyo rasmi na yasiyo rasmi kwa kipindi cha miaka kama kumi ya nyuma?

Maana hizi mbuga ni kwa faida ya nchi yetu ya Tanzania, kwa kiwango gani zinachangia budget ya taifa letu, au ni kuchota na kufanya matanuzi kama ulivyogundua Mheshimiwa?

Tunaomba wadau wa kando kando na mbuga na wabunge wetu fanyeni utafiti ili data tutakazo pata ziwe sahihi.
 
Kumbe sasa kuna ubadhirifu wa kutisha secta ya wanyama pori ukiongozwa na Mheshimiwa Pius Msekwa M/kiti CCM Tanzania bara!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom