Mkakati wa kuwavua ubunge wabunge wa CHADEMA wafichuliwa

hasira zimenjaa mpaka natetemeka, nahisi nitapewa ban mdasi mrefu......sitaki kuona sura ya CCM humu JF
 
Ni imani yangu kuwa Mungu kaamua kuwaacha magamba watumie mahakama kuhujumu haki za wapambanaji wetu ili kurahisisha ukombozi wa tanganyika yetu, Mi ntafurahi endapo wote hao watavuliwa sasa ndipo utakuwa ndio mwanzo mkubwa wa harakati za kuwang'oa hawa wezi na wachawi wakubwa(CCM).
Ni kweli Mkuu kwa sababu hao wakitemwa kwa hasira waende vijijini na mijini mkoa kwa mkoa kuwaelimisha wananchi juu ya ufisadi dhuluma na wizi tunaofanyiwa Tanzania ili iwe rahisi kuwangoa amafisadi 2015!!!!!

 
kweli mkuu hiyo itakuwa blessing in a disguise, maana hao makamanda watatumiwa na chama kupiga kampeini na kuwaelimisha wananchi, kuhusu katiba mpya, ufisadi, wizi, dhuluma ya mali zetu ili watanzania watoe hukumu ya haki 2015 kwenye uchaguzi mkuu!!!!!!!!! Viva cdm viva demokrasia na haki!!!!

hata hao watumishi wa serikali kiukweli wanaomba mabadiliko haraka mno hawapendi kufanya kazi zao kwa amri za namna hiyo na maamuzi kama hayo wanayatoa wakijua wazi wanawaudhi wananchi na kupandisha joto zaidi la mageuzi huo ni mchango wao kwetu chura ukimpiga teke karibu na mto atakushukuru sana
 
Sipendi kumbana PAKA hadi akose njia mbadala ya kujinasua zaidi ya kunishambulia. Naogopa kuwa kama kweli uzi una ukweli, CDM na wananchi kwa ujumla wao wataamua ama kuingia BARABARANI au kuingia MSITUNI. Kwangu njia zote ni mbaya, napendelea SANDUKU LA KURA (BALLOT BOX) tu.Nachelea michezo yao ikiwa kifo chetu. Tutafakari na kuchukua hatua mjarabu kunako mapema. NDIMI BAZAZI
 
sasa kama majaji inasemekana wanapata maagizo kutoka juu,na hawa watakaosimamia rufaa ya lema si ndio walewale tu?au hawa wanatoka wapi?
Majaji hao sii tunaishi nao huku mitaani,tunagongana nao huku mitaani ,wanawatoto wao ,wanandugu zao ,hawa tutawachinja hakuna njia nyingine sii wanaona wamefika hajajua hasira yetu wananchi ,wakumbuke huko uingereza kilichotokea wakati wa mapinduzi ya viwanda luddism movement ilifanyakazi ya kuvunja mitambo yote ,sisi tutaitumia luddism kuwamaliza majaji na mahikumu wao pamoja na familia zao .huu ndio ukweli .
 
Hahahaaaa, naionea huruma Tanzania nchi yangu. Imeruhusu kutawaliwa na watu wasioona mbali. Kitendo cha watu kuchagua upinzani ni ujumbe tosha kwamba wamechoshwa na mambo yanavyoendeshwa kwa hiyo yanahitajika mabadiliko kidogo tu ya kimtazamo. Ujumbe wangu ni kwamba, kama wabunge wa CDM ni kero na hawatakiwi basi TUJIANDAENI KWA VITA. Kinachofanya watu wawe watulivu kwa sasa ni imani kwamba Lissu, Mrema, Mnyika na wenzao watawasemea. Kuwaondoa mjengoni ni kuwapotezea wananchi matumaini na hivyo kutangaza vurugu, fujo na vita! There is no way kwa mfano ukaondoa Mnyika ukaacha Lusinde!
 
Majaji wa Serikali, CCM ndio inaongoza serikali ya Tanzania, Rais ndiye anayeteua Majaji....Sasa unategemea nini? Batilda kawekwa Balozi Kenya ili iwe rahisi kwa yeye kuja Tanzania hata kwa Tax kwani anataka kurudi kugombea ubunge ARusha na hapo ndipo atakapoa aibika.
 
:heh::heh::yell::yell: Hapa wanatupatia pia kufikiria mianya ya kuziba katika katiba. Ila kizuri zaidi wanaamsha hasira za umma hasa vijavijana. Wanataka kusogeza yalikuwa yamefichika enzi zile za chama kimoja .


SIASA ZA MABAVU NA MBINU CHAFU ZA KISIASA TUSIZIPE NAFASI.

KWAHILI TUENDELEE KUELIMISHA UMMA KUFIKIA MAPINDUZI YA KIDEMOKRASIA HAPO 2015!
 
ccm na majaji wao wanachochea hasira ya wananchi ,wanataka uiona ilikolala ,tutazichapa kiukweli lazima tuzichape
 
Moja ya mbinu za kupambana na u-mbwa huo baada ya wabunge kuvuliwa nyadhifa zao ni kufahamu mahali hao majaji wanakoishi pamoja na nyendo zao kisha kuwaua mmoja baada ya mwingine.
. maadam tunamtegemea Mungu tusifanye hiyo kazi ss bali kisasi ni juu ya Mungu kulipa. Wao wanapesa na mamlaka ss tuna Mungu
 
Sina sababu ya kuogopa maana kuihujumu CDM ni kumhujumu Mungu. Watawavua makamanda ubunge, but Mungu atawavua wabunge wao uhai, na hayo majimbo yatakwenda kwa makamanda wakali zaidi...
 
hata wafanyaje hawawezu kuhamisha mawazo ya watu kwa kipindi kifupi ndio maana hata kabla hawajafanya njia zao chafu zimeshafunuliwa na kuonekana
 
Majaji hao sii tunaishi nao huku mitaani,tunagongana nao huku mitaani ,wanawatoto wao ,wanandugu zao ,hawa tutawachinja hakuna njia nyingine sii wanaona wamefika hajajua hasira yetu wananchi ,wakumbuke huko uingereza kilichotokea wakati wa mapinduzi ya viwanda luddism movement ilifanyakazi ya kuvunja mitambo yote ,sisi tutaitumia luddism kuwamaliza majaji na mahikumu wao pamoja na familia zao .huu ndio ukweli .
Majaji na mahakimu tutakuwa tunawaonea unless waikimbie ajira yao, wenye matatizo ni serikali inayotoa amri za hukumu kwa majaji na vikaragosi wao!!!! We hukumu kama ile hata kwa Jaji kilaza kweli atakubali kuitoa ili ajidharirishe si anajua hukumu kuwa inatumiwa mashuleni na kwenye research mbali mbali duniani kwenye kudurusu sheria???? Huyo Jaji ni mamluki katumwa na wakubwa zake CCM na serikali yake, hao ndio wa kupambana nao period!!!!

 
Majaji na mahakimu tutakuwa tunawaonea unless waikimbie ajira yao, wenye matatizo ni serikali inayotoa amri za hukumu kwa majaji na vikaragosi wao!!!! We hukumu kama ile hata kwa Jaji kilaza kweli atakubali kuitoa ili ajidharirishe si anajua hukumu kuwa inatumiwa mashuleni na kwenye research mbali mbali duniani kwenye kudurusu sheria???? Huyo Jaji ni mamluki katumwa na wakubwa zake CCM na serikali yake, hao ndio wa kupambana nao period!!!!


Rafiki yangu kwa hukumu ile kama unavyesema kuna haja gani kuendelea kuwalea hawa vilaza ,tafsiri nyingine kama ni mwepesi hivyo kuhongwa na ccm ,amenyonga wangapi wasio na hatia katika utumishi wake .majaji na mahakimu wenye tabia hii hawafai kuonekana kwenye uso wa dunia .lakini wanadhani kuuwawa kwao lazima watu watangaze ,asubiri na hao wengine wasubiri walijitokeza kwenye kessi hizo .tutawachinja tu ,tunahasira ,postingi zinazotolewa humu sio kwamba watu wamekurupuka ndivyo ilivyo kwenye vijiwe jamii ina hasira .nasema nilaziama wa chinjwe tu hakuna njia nyigine labda wataikataa shinikizo la ikulu wakiona wenzao wamechinjwa na familia zao . kwanza tunampa siku 100 jaji aliye hukumu kesi ya lema ,subiri nipo mtasikia.
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha,imefika maali wanachi tuelewe ipi shubiri na ipi asali.wafanye wanavyotaka wezi wakubwa hawa na wauaji.lakini wajue hata waliokuwa wamelala kwa madudu wanayoyaleta kila mtz amepania kukesha.kazi kwao.
 
Washindwe na walegee!!! Kwani watabaki madarakani daima? Kama hawatataka kutoka kwa nguvu ya kura na katiba iliyokamilika basi watu watafanya yale ya Misri na Tunisia. Wakishatoswa basi tutatengeneza katiba kwa matakwa yetu wenyewe! Ndiyo utakuwa mwisho wao daima!! Waendelee tu kufanya ujinga, wanafikiri watanzania wa leo ni wale waliokuwa wamenyimwa hata kuwa na TV enzi za Nyerere? Watu wameamka na bahati nzuri wengi ni vijana hivyo vuguvugu la mabadiliko litaendelea kuwakolezea moto.. joto litawashinda tu!!
 
Back
Top Bottom