Mkakati wa Kumuhujumu JK na Lowassa

JK inaonekana "Katongozwa" na Membe akamtema EL...

Shida kubwa ni kwasababu wote walikuwa mtandao na style yao ni kuchafuana,si mnakumbuka Salim A. SAlim?

Malipo kweli ni hapa hapa duniani.
Kaazi kweli kweli!

JMushi, nakubaliana na wewe 100%, madaraka na "power" ni vitu vibaya sana, havina udugu wala urafiki, kila mmoja anatazama maslahi yake kwanza ya sasa hivi na ya baadae.

Afrika, hususan Tanzania inajulikana na wala si siri, kuwa watu wanalindana kwa maslahi yao binafsi. Bado tunakazi kubwa ya kufanya.
 
Lowasa at work

And desperately so! They realise this is work in progress. In fact they have rattled a snake and they know what to expect. Lakini wanatakiwa wajue kwamba there is no love lost between this idiot and the President. Yeye plan yake ime-boomerang kwa sababu he was setting up a shouting game and his nemesis were quick to fend off this juvenile attempt. He knows that the game plan as changed and he has no control over what will follow! Warbetide my friends!
 
Back
Top Bottom