Mkakati wa kumng'oa Pinda waiva ...........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
saini-fil-zitto.jpg

Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anayefanya zoezi la kukusanya sahihi za wabunge ili aweze kuwasilisha bungeni hoja kutokuwa na imani na waziri mkuu. Picha na Edwin Mjwahuzi

Mkakati wa Spika wa Bunge Anne Makinda kulidhoofisha Bunge kwa tafsiri potovu za kanuni za uendeshaji wa hilo Bunge kufikia ukomo J3................
 
Ukitaka kuijua taswira ya mtu ambaye anauchungu na hii nchi basi angalia sura ya huyu mbunge Deo Filkunjombe!
 
saini-fil-zitto.jpg

Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anayefanya zoezi la kukusanya sahihi za wabunge ili aweze kuwasilisha bungeni hoja kutokuwa na imani na waziri mkuu. Picha na Edwin Mjwahuzi

Mkakati wa Spika wa Bunge Anne Makinda kulidhoofisha Bunge kwa tafsiri potovu za kanuni za uendeshaji wa hilo Bunge kufikia ukomo J3................

ukombozi unakaribia
 
Hakuna kitu ninachochukia kama ripitesheni ya threads zenye vichwa vya habari hiyo hiyo na contents zilezile JF imejaa malimbukeni wengi sana agrrrrrrrrrrr

Note
Ukitazama hizi Posts : 33,734 pengine 80% ni marudio ya hoja ambazo zimeshaanzishwa very low mkuu.
 
saini-fil-zitto.jpg

Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anayefanya zoezi la kukusanya sahihi za wabunge ili aweze kuwasilisha bungeni hoja kutokuwa na imani na waziri mkuu. Picha na Edwin Mjwahuzi
Sura ya Filikunjombe:
Sura ya kazi!
Sura ya utu!
Sura ya ukombozi.
Sura ya hamasa ya ukombozi.
Sura ya uchungu wa rasilimali.
Sura ya matumaini kwa wapiga kura.
Sura ya nuru kwa Taifa lililotelekezwa,

Maslahi ya nchi yakiwekwa mbele nchi hii itapiga hatua.
OTIS
 
Naamini kwa sasa viongozi wataanza kuwajibika kwa kuwatumikia watz badala ya kuhongana ili bajeti mbovu zipitishwe kwa zile kura za kishamba za wana ccm na ccm-b
 
yani hapo moyoni anasema hakuna janjajanja hapa na wakinizingua nahamia chadema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom