Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

Mwizi ni mwizi tu, akishapata dili hata yeye ataiba hayo mabilioni.
 
Lema ni mhalifu mzoefu. Ana hulka za kihalifu ndo maana alidai mlango ufungwe bungeni wapigane.

Sitashangaa nikisikia kuwa anaendelea na uhalifu wake kwa kutumia kificho cha uheshimiwa.

Tusiingize siasa kwenye mambo ya kihalifu, hususan mhusika anapokuwa ni 'habitual criminal'.

Tuache sheria ichukue mkondo wake, hatutaki mbunge mhuni na mhalifu.

hata makongoro nyerere alipokuwa mbunge wa arusha kupitia Nccr aliitwa muhuni(mlevi),sasa karudi ccm kawa mstaarabu!
 
And lema will not be a threat to tz politics

hii ni njia ya kumpa air time tu.

Kwenye mikutano hana jipya zaidi ya kusimulia yaliyotokea arusha..hahahahaaaa mbowe unalo
utakuwa unamsikia hakika siku ukibahatika kumsikiliza akiwajukwaani au face to face..hutaongea unayoyaongea au waulize ccm arusha
 
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.

Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha mahakamani ambako itambidi mbunge Lema awe busy na kesi na kupunguza muda wake wa kupambana na serikali.

Lengo la mkakati huo pia ni kuuonesha umma kuwa Lema si muadilifu mbele ya jamii anamojigamba kuwa mtetezi wake. Lakini mwisho wa yote watataka kufanikisha hata kumfunga Lema gerezani ili iwezekane kumwondoa kabisa katika siasa za Tanzania.

Mkakati huu umekuja ndani ya mpango wa kuwanyamazisha wote wanaopiga kelele dhidi ya Ufisadi unaoshika kasi serikalini.
Msishangae kusikia watu wakiuawa mmoja baada ya mwingine

That won't be news.Walishafanya kwa hiyo itakuwa ni marudio tu.Kwani kazi ya Status Quo Security(SQS)(wrongly called national security) ni nini hasa,na hiyo si sehemu ya kazi yao.Sasa tushangae kwa lipi hasa.
 
Back
Top Bottom