Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

Jaribu kulifuatilia zaidi ili tupate habari kamili,lakini umefanya vizuri kutustua na wahusika (kama wapo na kama ni kweli) watastuka na kuacha mpango wao au kubadilisha mbinu.
 
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.

Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha mahakamani ambako itambidi mbunge Lema awe busy na kesi na kupunguza muda wake wa kupambana na serikali.

Lengo la mkakati huo pia ni kuuonesha umma kuwa Lema si muadilifu mbele ya jamii anamojigamba kuwa mtetezi wake. Lakini mwisho wa yote watataka kufanikisha hata kumfunga Lema gerezani ili iwezekane kumwondoa kabisa katika siasa za Tanzania.

Mkakati huu umekuja ndani ya mpango wa kuwanyamazisha wote wanaopiga kelele dhidi ya Ufisadi unaoshika kasi serikalini.
Msishangae kusikia watu wakiuawa mmoja baada ya mwingine

Hawawezi kamende, tatizo hawana tactics za kutosha coz wote ni vichwa maji...
 
You guys are giving this Lema guy too much credit hii ni one hit wonder sijui kama wananchi wa Arusha wana mpango wa kumrudisha huyo mjamaa!!

Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu.

Mimi ni mtu wa Arusha umenikifu kwa kuniwekea maneno mdomoni juu ya Lema. Nilivyoielewa thread hii, ni kama taarifa ya tahadhali. Lazima nikiri kuwa chaguo la wana Arusha (Lema) ni pigo kwa watu fulani (labda pamoja na wewe). Lakini ndilo chaguo letu. Kwa hiyo taarifa hii kwetu ni faida kama angalizo. Usisahau kuwa pamoja kuwa wewe na "jamaa" zako kutokuwa na mpango wa kumrudisha Lema kama mbunge wa Arusha sisi tunadhani kura zetu zimejibu ndiyo maana inawauma. Kwanza mngejiuliza huyu "muhuni" amechaguliwaje? Jibu rahisi ni kuwa kachaguliwa na "wahuni wenziwe". Kwa msingi huo jiandaeni na nyinyi kwa sababu "wahuni" bado wanamtaka Lema kwa sababu amekidhi matarajio yao hata akipewa kifungo cha maisha haki itatafutwa na kupatika. Kwa kuwa wanaota hata kumfanyia hayo basi ina maana Lema anafanya kazi nzuri inayotishia interest za kundi fulani.

"Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu". To me this is rather strong and is evidence enough to believe the allegation and the existence of this interest group. THAT IS CCM IN ITS TRUE COLOURS A PAPER TIGER.
 
You guys are giving this Lema guy too much credit hii ni one hit wonder sijui kama wananchi wa Arusha wana mpango wa kumrudisha huyo mjamaa!!

Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu.

Umepotea njia kbs nani kakwambia wakazi wa Arusha hawatamrudisha Lema 2015?acha kuusemea moyo wa watu wa Arusha nnatamani ungekuwa karibu nikufundishe displin maana unanchefua nani kakwambia Arusha tunataka hii mambo ya ccm?
 
You guys are giving this Lema guy too much credit hii ni one hit wonder sijui kama wananchi wa Arusha wana mpango wa kumrudisha huyo mjamaa!!

Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu.
Msikilize mhuni wa Arusha...
 
Last edited by a moderator:
Habari imekaa kiudaku udaku!! Hakuna source, mara Lema, mara mkewe, mara watu watauwawa... Yaani bora umeandika tu...!!!

na wee mwanCBE,yani unataka kila kitu kiwe na maandiko ndo uamini?je kama source ni yeye mwenyewe? Tuachane na protokali za kizamani eti mpaka procedure flani ifuatwe ndo uamini. Aya ndo yanayoleta ukinzani usioleta tija,hata ivo hamna palipoandikwa kuwa kama hauna authorised source hauruhusiwi kuongea jf,hapana.
 
Naamini kabisa hii taarifa ni Lema mwenyewe kaandika .Umaarufu hautafutwi kwa njia za mkato fanya kazi mzee

kwa iyo Lema haruhusiwi kujiandika hata kama kuna ukweli? Mara ngapi akina mwakyembe pia wametegwa ivo,we vp tena!
 
Halafu jamani lisemwalo lipo kama halipo linakuja,Magamba wenyewe kwa wenyewe wanauana sembuse upinzani?Mwakyembe alipata kinga baada ya kuongea hadharani ila ngoma ilikuwa iondoke,kwa hiyo inabidi tuliweke kwenye maombi,maana hawa watu wanaenda makanisani na misikitini kama geresha lakini ni watu hatari mno wanatisha utafikiri wao wataishi milele.NAAMINI KWA MUNGU HAKUNA KINACHOSHINDIKANA.NA CHENYE MWANZO HAKIKOSI KUWA NA MWISHO
 
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.

Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha mahakamani ambako itambidi mbunge Lema awe busy na kesi na kupunguza muda wake wa kupambana na serikali.

Lengo la mkakati huo pia ni kuuonesha umma kuwa Lema si muadilifu mbele ya jamii anamojigamba kuwa mtetezi wake. Lakini mwisho wa yote watataka kufanikisha hata kumfunga Lema gerezani ili iwezekane kumwondoa kabisa katika siasa za Tanzania.

Mkakati huu umekuja ndani ya mpango wa kuwanyamazisha wote wanaopiga kelele dhidi ya Ufisadi unaoshika kasi serikalini.
Msishangae kusikia watu wakiuawa mmoja baada ya mwingine

Hapo kwenye Red, mlizonazo Wewe na nani?
 
We mtabiri nini,isije ikawa anadeal na issue hizo za madawa ya kulevya harafu mkazua tafrani.Story hii ni ya kupikwa na pengine utakuwa unaota sisi tukawa tunachangia tu maake humu JF bwana kila wali waliwa ati.
 
Back
Top Bottom