Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
45
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.

Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha mahakamani ambako itambidi mbunge Lema awe busy na kesi na kupunguza muda wake wa kupambana na serikali.

Lengo la mkakati huo pia ni kuuonesha umma kuwa Lema si muadilifu mbele ya jamii anamojigamba kuwa mtetezi wake. Lakini mwisho wa yote watataka kufanikisha hata kumfunga Lema gerezani ili iwezekane kumwondoa kabisa katika siasa za Tanzania.

Mkakati huu umekuja ndani ya mpango wa kuwanyamazisha wote wanaopiga kelele dhidi ya Ufisadi unaoshika kasi serikalini.
Msishangae kusikia watu wakiuawa mmoja baada ya mwingine
 
Hiyo red nauliza ni nchi hii ???
 
Kalewe mbege huko acha kutuletea utumbo hapa na hoja zako zisizo na mashiko.
 
huyu ni kaka yake, yaani wanataka kumtafutia issue ya kupandia majukwaani.
jamani kuweni makini......siasa hii mkitaka kuipeleka hivyo mtaisha njiani mapemaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Habari imekaa kiudaku udaku!! Hakuna source, mara Lema, mara mkewe, mara watu watauwawa... Yaani bora umeandika tu...!!!
 
You guys are giving this Lema guy too much credit hii ni one hit wonder sijui kama wananchi wa Arusha wana mpango wa kumrudisha huyo mjamaa!!

Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu.
 
Acha ulimbukeni wewe unamjua lema au unamsikia watu wa arusha ni makini,lema kwa arusha ni kama raisi wao,mpeleke kikwete uone hata kama watu watamsikiliza.acha kuwa na akili mbaya kama nape.
 
Mmh hata Global Publisher huwa wanajiahidi kutafuta source za mawazoni, JF inahitahi source za uhakika na si story za kwenye machimbo ya Tanzanite (shimoni wakati wachimbaji wakiwa break).
 
You guys are giving this Lema guy too much credit hii ni one hit wonder sijui kama wananchi wa Arusha wana mpango wa kumrudisha huyo mjamaa!!

Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu.

arusha kubwa ndugu yangu.unasemea watu wa arusha ipi?kama ni hapa A-town nilipo sikubaliani na wewe.
 
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.

Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha mahakamani ambako itambidi mbunge Lema awe busy na kesi na kupunguza muda wake wa kupambana na serikali.

Lengo la mkakati huo pia ni kuuonesha umma kuwa Lema si muadilifu mbele ya jamii anamojigamba kuwa mtetezi wake. Lakini mwisho wa yote watataka kufanikisha hata kumfunga Lema gerezani ili iwezekane kumwondoa kabisa katika siasa za Tanzania.

Mkakati huu umekuja ndani ya mpango wa kuwanyamazisha wote wanaopiga kelele dhidi ya Ufisadi unaoshika kasi serikalini.
Msishangae kusikia watu wakiuawa mmoja baada ya mwingine
Naamini kabisa hii taarifa ni Lema mwenyewe kaandika .Umaarufu hautafutwi kwa njia za mkato fanya kazi mzee
 
You guys are giving this Lema guy too much credit hii ni one hit wonder sijui kama wananchi wa Arusha wana mpango wa kumrudisha huyo mjamaa!!

Watu wenyewe wa Arusha wanasema jamaa alikuwa muhuni tu so kama akifunguliwa kesi his past would be haunting him asimlaumu mtu.

Unazungumzia arusha ipi? Monduli kwa Lowassa au Karatu kwa Dr. Slaa? Maana Arusha mjini Lema ana mashiko wala usipime. Watu wa Arusha ndio wameamua hivyo, kama wewe humtaki ni juu yako!
 
Habari imekaa kiudaku udaku!! Hakuna source, mara Lema, mara mkewe, mara watu watauwawa... Yaani bora umeandika tu...!!!

Hata Mwakyembe alidai eti kuna watu walikuwa na mpango kumuua! Yale yaleeeeeee kama ya enzi za A L Mrema na kifo cha Kombe!
 
haya mambo ya kijinga ya chama cha magamba hayatafanikiwa, lema tuko pamoja kazi yako tunikubali
 
Naamini kabisa hii taarifa ni Lema mwenyewe kaandika .Umaarufu hautafutwi kwa njia za mkato fanya kazi mzee

We nawe mzushi! Unamfahamu Lema? Mimi namfahamu na siamini kabisa kama yeye anaweza kuandika thread hiyo. Ila mwanzilishi wa thread ni mfuasi wake mwenye woga ulizidi kipimo anaimagin na kuandika imagination zake. Humfahamu Lema kabisa!
 
Kweli anazungumzia Monduli maana wale bado ni vilaza, sio Arusha hii tunayoijua sisi, Lema anakubalika A town asikwambie mtu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom