ukitaka kuing'oa ccm hakikisheni mnakipa chama ambacho kweli kina hadhi zaidi ya chama cha mapinduzi, sio hicho kikundi cha wavaa magwanda ambao wamejidedicate kutwaa dola kwa namna yeyote ile hata kwa umwagaji damu, ni hatari kwa taifa kuwafumbia na kuwaunga mkono watu hawa.
Umevimbiwa na maisha ya ubabaishaji wewe na mtu yeyote mwenye uzao wa aina yako ya kumuona failure kuwa shujaa ndio maana mumetufikisha hapa tulipo we mtu hata Tausi aliowakuta IKULU amehonga,Jakaya Kikwete hajijui aendesheje nchi inalinganisha na watu ambao wanatikisa CCM mpaka wameamua kuwa wauaji,Mwenyekiti wako sio tu he is not a good husband lakini pia he cant be a man enough to be husband Mwambie mwenyekiti wako atupe maisha bora aliotuahidi aache kwenda kuuza sura kwenye misiba ya maraisi wenziweHayo unayoyasema kuhusu mwenyekiti wangu sikubaliani na wewe na hata taifa kwa ujumla litakataa wakiipata taarifa hii, mhe. Rais ana familia na mpaka mtu anaejitambua kama mhe. Rais anaamua kupata watoto ujue he knows how to be a good husband, jambo ambalo upande wa CDM hakuna aliyefanikiwa, kwa taratibu za kawaida ili uongoze taifa basi kiongozi atupatie first lady, jambo ambalo kile kibabu chenu kinasuasua, dr. aka kibabu chenu hana managerial skills ndio maana chama hakina muelekeo unaoeleweka, kila mtu anataka uongozi ndani ya chama, huoni kama kunaudhaifu fulani wa katibu wa chama?
We kweli Kidumu cha Chama Cha Mabwepande(CCM),jitahidi huenda ukawa nyumba ndogo*:eek2:Chadema kitakufa kifo cha kwaida kabisa wala hakuna mkakati wowote wakuwabambikia kesi Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kama NGO.
Mfamaji siku zote haishi kutapatapa, CHADEMA ni kama marehemu ambaye taarifa yake ya kifo haijatangazwa, kwanza chama kizima kina sauti tatu tu, ukizitoa hizo chama hakisikiki. Hatupo tayari kuwapa nchi wahuni hata iweje, viongozi gani hawana nidhamu, hawana haya wala aibu kwa umma wa watanzania, wamiliki night clubs, casino na bar, watembea na wake za watu? chama kinaongozwa kwa ukanda, kimejaza wachaga katika nafasi zote nyeti ndani ya chama. CCM jenga nchi CCM tawala, wewe CCM ndio chama imara unastahili kuendelea kutawala dola, changamoto zilizopo tunaimani kwamba zitapatiwa ufumbuzi chini ya uongozi imara.
Chadema kitakufa kifo cha kwaida kabisa wala hakuna mkakati wowote wakuwabambikia kesi Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kama NGO.