Mkakati wa JK kumrithisha urais January Makamba utafanikiwa au itakuwa kama Moi na Uhuru Kenyatta?

Kuna watu niliwaeleza humu EL ni Yohana Mbatizaji tuu, akiyanyoosha mapito ya yule yuajaye!.
Pasco.

Makamba awe rais wa tz? Yaani we lowasa na kuzunguka kote nchi hii amtengenezee njia makamba aje kuwa rais? Naona kama mnaota ndoto. Ni mara mia fisadi lowasa awe rais kuliko hawa omba omba! Mtu kama anamuuza dada yake ili apate hela za kampeni za ubunge ataweza kuongoza nchi.? Jk anagawa rasilimali zetu bure kwa sababu ya kuwa omba omba. Huwa anadhani akiwagomea kwenye misaada watamnyima misaada. Kumbe anachokipata ni kidogo kuliko kile wanachochuma kwenye mikataba anayosain hovyo hovyo.
 
Hivi huyu jamaa sio wa kaskazini?
Au lile tamko la watoto wa pwani halijazingatiwa!!
Haya ngoja tuone.
 
Wacha waongee wajipe matumain weeee mwisho wa siku Aibuu,mbona raisi anajulikana hatutaki rais aingie ndio aanzee kujenga nyumba kwao,tunataka rais aliejitosheleza,CHEZEA LOWASSA WEYEEE WATADEKI BAHARI NA SIO LAMI TENAAAAA
 
Wasubiri 2015 ndo wapasuke itakuwa raha kweli kweli, mpasuko wenye faida kwa nchi nani atabisha???
 
kweli bana JANUARY MAKAMBA is too soft to be a president... ni kama BENARD MEMBE

bora hata lowasa kuliko hawa ma NICE BOYZ

ktk ccm ni fisadi lowasa tu ndiye anafaa kuwa rais. Huyu mjingamjinga wa makamba bora hata membe.
 
Back
Top Bottom