Sisi kama vuguvugu la madiliko hatuwatambui watu wa visiwani ( Zan & Pemb).
Zanzibar wana wa2 1.5 million ambao wanaingia mara mbili kwa mji mzima wa Mwanza na wanaingia mara 9 kwa kanda ya ziwa.
Chadema wanaitaji kushinda kwa kishindo KANDA YA ZIWA, KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, na KANDA YA KASKAZINI. Maeneo mengine ya nchi CDM watagawana kura na vyama vingine.
Zanzibar haina umuhimu.
Big up, Big up .....
Wazenji ni ndugu zetu na wengi ni ndugu wa damu kabisa kwan walipelekwa kwa maana ya utumwa kutokea tanganyika- namaanisha sehem ya wazenji sio wote.
Hivi karibun bila woga wala aibu ndugu zetu hawa wanatukataa waziwazi hadhalan! Tutajitahid kuwaomba kuimarisha undugu wetu nakama wataendelea kututosa hakuna sabab bali kuachana nao, na 'dhambi ya ubaguzi itakuwa juu yao na kuwafuata kwa kuwatafuna'-mwalimu JK nyerere.