Mkakati wa CCM kujivua gamba ni zao la Utafiti kweli au Majungu?

Suala la ama kalengwa nani au yupi hapan wala hainisumbui mimi; nataka kuona MAFISADI woote na mfumo yao imeondoka bila kujali cha Mkristo wala Muislamu. Kama wakati wa wizi mzima walitumwa ama na kanisa au msikiti basi nitakusiliza katika hili.

Tusidanganyane, lengo la CCM kuvua gamba ni la kututema sie Waislamu tu.
 
Nasema kwa mapenzi ya dhati kabisa kwamba mkakati wa OPERESHINI CCM VUA GAMBA ndio hiyo unaanguka kitako kwa kuwa msingi wake umejengwa kwa matofali manene manene sana lakini ya biskuti.

Hata hivyo bado hakujachelewa sana going back to the drawing board kwa lengo la kujifanyia kwanza tathmini kwa kutegemea jicho la taasisi huru ambayo haina cha kupata wala kupoteza kwenye mambo ya CCM.

Ni ushauri tu yaweza kuchukuliwa au kutupwa kabisa jalalani.
 
Nasema kwa mapenzi ya dhati kabisa kwamba mkakati wa OPERESHINI CCM VUA GAMBA ndio hiyo unaanguka kitako kwa kuwa msingi
wake umejengwa kwa matofali manene manene sana lakini ya biskuti.
Hata hivyo bado hakujachelewa sana going back to the drawing board kwa lengo la kujifanyia kwanza tathmini kwa kutegemea jicho la taasisi huru ambayo haina cha kupata wala kupoteza kwenye mambo ya CCM.
Ni ushauri tu yaweza kuchukuliwa au kutupwa kabisa jalalani.
UT, mbona tunaharaka hivi na kwa kutoa negative opinion wakati wenyewe wameshasema watafanya kweli na time frame wametoa?. CCM si wamesema wamewapa siku 90 kwa mafisadi wanaokichafua chama chao kujing'atua?. Tena Nape na Chiligati wanazunguka nchi nzima kulipigia hili tarumbeta huku wakisisitiza watawapa barua leo/kesho?. Wamesema siku 90 zikipita bila wachafu kujitoa, then chama kita wa-flush!. Sasa haraka hizi za nini wakati muda bado?. Lets be fair to CCM, waacheni wafanye wanachofanya na ule muda ukishatimia ndipo tuje hapa tuwatathimini kwa haki. Na kwa maoni yangu wakilishindwa hili, hii ndio itakuwa ni misumari ya mwisho kwenye jeneza la CCM!. Lets sit and watch!.
 
MAMBO NDANI YA CCM HIVI SASA NI HATIRI NA WALA SI SALAMA:
WENZETU HIVI SASA MBELE HAKUENDEKI NA NYUMA HAKURUDIKI KATIKA MKAKATI WA 'OPERESHENI VUA GAMBA' KUKOMESHA UFISADI NDANI MWAKE

Haaa!!! haaa!!!! haaaaaa, CCM bana!!!

Willisoni hiyo ripoti ya kuokotwa mitaani wala haikua Scientific Research, itupe mbali sana kwa kuwa itakisambaratisha CCM kwa haraka zaidi kuliko wengine tunavyotarajia leo hii.

CCM imara zaidi ya KANU ya Kenya ndani ya kambi ya upinzani ni muhimu sana kwa utawala murua kwa CHADEMA na wananchi kwa ujumla tangu hapo 2015.

Masikini CCM, mlivyoingia kiulaini ndani ya huu mtego ya OPERESHENI VUA GAMBA!!! Katika hili mnalooo; nyuma hakurudiki na wala mbele hakuendeki katika vita vyenu dhidi ya UFISADI nchini.

Nasema CCM mnaloooo mwaka huu sijui sasa wananchi tutaelezwa kiswahili gani baada ya siku 90 za kujivua gamba???????????
 
Mkuu Pasco wewe unapozungumza neno lazima nitulie kidogo kwanza, lakini ulitazama TBC1 kule na wewe leo usiku??????????

UT, mbona tunaharaka hivi na kwa kutoa negative opinion wakati wenyewe wameshasema watafanya kweli na time frame wametoa?. CCM si wamesema wamewapa siku 90 kwa mafisadi wanaokichafua chama chao kujing'atua?. Tena Nape na Chiligati wanazunguka nchi nzima kulipigia hili tarumbeta huku wakisisitiza watawapa barua leo/kesho?. Wamesema siku 90 zikipita bila wachafu kujitoa, then chama kita wa-flush!. Sasa haraka hizi za nini wakati muda bado?. Lets be fair to CCM, waacheni wafanye wanachofanya na ule muda ukishatimia ndipo tuje hapa tuwatathimini kwa haki. Na kwa maoni yangu wakilishindwa hili, hii ndio itakuwa ni misumari ya mwisho kwenye jeneza la CCM!. Lets sit and watch!.
 
NAPE MNAUYE, JANUARY MAKAMBA NA WILSONI MUKAMA HEBU KAZUNGUKENI TENA MIKOANI NGWE YA PILI MKAWATANGAZIE WANANCHI KWA KAULI YA OPERESHENI CCM VUA GAMBA
HAPO AWALI ILIKUA NI MZAHA TUUU!!!!

Nauye na Mukama, hebu kaandikeni tena imprest ili mwende upya mzunguko wa pili mikoa yote kwenda kuwambia wananchi kwamba yale mliowambia hapo awali (Operesheni CCM kuvua Gamba RACHEL) kule kuvua gamba ndani ya siku 90 wala hamkuimanisha saaaaana vile kwani ilikua ni gia tu kwamba Sekretarieti Mpya CCM Mtoke Vipi vle, au sio???

Msisahau kuwafahamisha wananchi ukweli wa mambo kwamba lile Gamba la CCM iliokusanyika kwa zaidi ya miaka 50 sasa wala haichuniki hata kwa panga hivyo mmeamua wenyew magamba sugu wenye wakajitilie wenyewe sahihi barua kwenda kwa MAFISADI ambao kimsingi mnasingiziwa tu wala hawapo kwani ni siku nyingi walishahamia katika nchi nyingine iitwayo KUSADIKIKA hivyo hapa Tanzania hawapo tena.

Hebu fanyeni hima kidogo kabwa mambo hayajabumburuka zaidi.​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom