mkakati maalum wa kumpa madaraka Edward Lowasa kurudisha shule za makanisa

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Archbishop calls for government to return nationalised schools: The Church of England Newspaper, Oct 28, 2011 p 7. October 30, 2011
Posted by geoconger in Anglican Church News, Anglican Church of Tanzania, Church of England Newspaper, Education, Mission Societies/Religious Orders.
Tags: Christian Education, Edward Lowassa, Valentino Mokiwa
comments closed

First printed in The Church of England Newspaper.

Archbishop Valentino Mokiwa has urged a leading candidate for
president to promise to return to the church mission schools
nationalized by the government.



Speaking at a school fundraising event on 24 Oct 2011 in
Dar es Salaam, Dr. Mokiwa asked Edward Lowassa MP to
return the schools if he wins the presidency. Elections are
scheduled in the east African nation in 2015 to succeed
President Jakaya Kikwete. While Mr. Lowassa has not
formally announced his candidacy, he is considered a
front runner for the post.



Following independence in 1961, church schools received
financials support from the government as long as they
followed the Department of Education’s national curriculum.
Government policies changed, however, following the
promulgation of the Arusha Declaration on 5 Feb 1967
by President Julius Nyerere. The Arusha Declaration
outlined the principles of Ujamaa — African socialism
— and called for the overhaul of the economic system
and self-reliance in locally administered villages through
a villagization programme.



The villagization programme, implemented between 1973
and 1976, created a collective farming system through the
resettlement of peasants who lived and worked their own
land onto new villages that could provide economies of scale.
The programme also saw a push towards self-reliance in
industry and education. In 1974 the government nationalized
private primary schools established by the Anglican, Catholic
and Lutheran churches, and forced many missionary school
teachers to leave the country.



African socialism proved to be an economic and education
catastrophe for Tanzania, and in the 1980’s the government
permitted new private schools to be opened. The government’s
failure to maintain the confiscated schools and its disinclination
to invest in education has led to a boom in private school
enrollment, according to a UN report, such that over half
of all students in Tanzania are now privately educated.



In his speech to kick off the fundraising drive for the Bishop
John Sepeku School in the Yombo Buza district of Dar es Salaam,
Archbishop Mokiwa asked the political leader to pledge to return
the schools. “If you are blessed to win the presidency, please
make sure that you return former church-owned schools to us…
there are many properties belonging to the churches that were
taken over by the government,” said Dr Mokiwa according to
local press reports.



The Anglican Church in Tanzania has urged the government
to return its confiscated schools, arguing that it is able to
educate more children at a higher standard for less cost than
the government.



The nationalization campaign had scarred many people, Dr. Mokiwa said,
and it was now time to set politics aside for the good of the nation and
support the best interests of children.


 
Title ya thread yako imekaa kinafiki nafiki hivi na unaonekana unaushabiki na itikadi za udini...Serikali ilishatamka kuwa shule hizi hazitarudishwa.
 

Nakubali kuwa shule zinazomilikiwa na taasis za dini zinafanya vizuri na mfumo wao wa elimu ni mzuri. Hata hivyo uzoefu unaonesha ada ni kubwa ambazo wananchi wa kawaida inakuwa vigumu kumudu ingawa tunajipiga piga ili tuweze kumudu.

Kutokana na mfumo mbovu wa serikali katika kusimamia sera yetu ya elimu, mimi nafikiri kuzirudisha hizo shule sio suluhisho bali Mokiwa ungeishawishi serikali mkaingia "memorandum of understanding" ya kuendesha kwa ushirikiano shule hizo na hata mkajitolea kwa zile za kata kwa ada nafuu inayokaribiana na zile za serikali kama kweli mna nia ya kuendeleza sekta hii ya elimu.


Pamoja na hayo, ningekuona umefanya jambo la maana kumuomba EL arejeshe mihela aliyojipatia kwa njia haramu ikiwemo zile za richmond na EPA, na amshinikize jamaa waifute ile kesi zidi ya TANESCO ili hiyo mihela tuboreshee shule hizo kabla hajatangaza nia yake ya.............
 
kama umebarikiwa kushinda urais , tafadhali, hakikisha unazirudisha shule zilizokuwa zinamilikiwa na kanisa ...wow...! hii haijakaa vizuri kabisa...kwanza una mu endorse mtuhumiwa wa ufisadi halafu hili la shule si limeshazikwa? yanini kuanza kutumbua upya makovu ya vidonda vilivyokwishapona? ngoja nikae mbali kabisa nisije nikaharibu kwaresma yangu...!
 
Title ya thread yako imekaa kinafiki nafiki hivi na unaonekana unaushabiki na itikadi za udini...Serikali ilishatamka kuwa shule hizi hazitarudishwa.

VGL,

I just like this Mkuu wangu its very short, simple and clear to cover the subject matter......
 
Sijawahi kumkubali Mokiwa na sitakaa nimkubali hata siku moja. Ni mdini wa waziwazi pamoja na kwamba yeye ni kasisi. Mokiwa ni mnafiki wa hali ya juu. Hana tofauti na Professa Bassaleh.
 
Lowassa, Lowassa, Lowassa...! Jina hili limezidi kuwa maarufu, iwe kwa mazuri ama mabaya limezidi kupaa juu. Kwake hii ni kampeni tosha inayoweza kumtimizia nia yake anayoikusudia hata kama hajaitangaza rasmi! Tusubiri tuone.
 
rais wasasa ni lowasa? acha udini ..jk kawakatalia mahakama ya kadhi..lowasa atawapa labda
 
Lowassa is on record kupora mali ya kanisa.
Kwa msiomfahamu huyu jamaa kupora mali ya umma kwake ni hobby.
Mali gani yakanisa anaweza kurudisha wakati yeye
Mwenywe alipora kiwanja cha kanisa Mbezi Beach.
Achenii unafiki bana.
 
Back
Top Bottom