Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

duh!!! ntu kasema PM watu wanarushia no za vilonga longa vyao loh!!

hizi namba mnazoacha humu mtajuta ile sheria ikianza kutumika!!!
 
Natafuta Kaka mstaarabu mtulivu mwenye kujua utu na ubinaadamu wa kubadilishana nae Mawazo yaani kuchati na kushauriana kuhusu Maisha kwa ujumla.

Mengine kama mimi nani au namba ya Simu ni baada ya ku PM.

With thanks!

Njoo siotu kuchat joo tunye bia,wine,pia soft drink vp unazipenda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom