Mkaka, good looking, sweet, civilized, msomi na anaejielewa company yake inahitajika !!!

shosti lara 1hebu kuwa muwaz ni weye unayesearch au kn shosti wamsaidia? Bt kwenye kipengele cha kuwaza game al the time akiangalie tena!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Kumbe upo in your own fishing!!!! LOLEST! Zina PICHA? Lazima nguvi za KIILUMINANTI ZIMEHUSIKA!!!! LOLEST!!! Wenzio wanajua FREEMANSON!!!

Mie nashangaa PM zamimika kwangu
Umewaambia nini hawa watoto wa kike.
 
shosti lara 1hebu kuwa muwaz ni weye unayesearch au kn shosti wamsaidia? Bt kwenye kipengele cha kuwaza game al the time akiangalie tena!
Aaaaaaah! Shosti, mi NIKO NA MCHAGA BANA !!!!! Si nimeelezea hapo juu kuwa kuna mtu anahitaji, na sifa nimetoa!!! Alafu mnakuza sana mambo mtu anatafuta COMPANY YA KUCHAT!!! LOL!
 
Mwanaume wa sifa zote hizo awe anamsubiri yeye?!!

Anyway subiri kesho siku ya kazi wataku pm na computa za ofisini.
We si unataka mwenye kazi!!.
 
Hodi hodi humu ndani!!!!

Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu!

:focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She was outside the market for too long, she has forgotten the husttles!!!! LOL! Sasa mimi nataka kumuonesha there are FEW GOOD MEN LEFT!!! LOL!

Anatakiwa mtu ambaye maybe nae yuko bored na maisha anahitaji company, au hajabahatika kupata the one( its worth a trial), au nae kapewa cha mbavu soon! na ANGEPENDA kuenjoy new company ya huyu dada, for chatting na kubadilishana mawazo tu! Mkielewana mengine mi simoooo!(U never know till you know) LOL! Purpose kubwa ni WEWE HUNA MTU ANAEKUKIP BUSY, NAE YUPO BORED, SASA NYIE HAPO MNAKIPIANA BUSY.Ishu ni kuwa friends na kupunguza boredom!!!!!

SIFA ZA MDADA!!!
Good looking, si mnene wala si mwembamba.
Ana kaelimu ka degree,
Ana kakazi cha kubadili mboga
Mcha Mungu!!!(sio lara 1 zee la kuchop chop)
Interesting (Huboreki ukikaa nae)
Good mannered (Sio wa kishua, ila sio wa uswazi)
Anaheshimu kila mtu.
Age 24yrs, Weight 64Kg, Height ya kati

MKAKA ANAYETAKIWA
Good looking( LAZIMA UJIAMINI MWENYEWE)
Msomi
Kazi muhimu
Mcha Mungu (sio mzugaji)
Good Mannered
Anaejielewa (sio kuwaza game tu mda wote!!!)
Mwenye busara zake
Age 25 to 30, Tall.

IF YOUR INTERESTED PM ME, NA MSHAWISHI KUWA YOU ARE THE COMPANY!!! LOL! COZ TUKO NAE HAPA ATAKUWA ANASOMA NA AKIRIZIKA ATAKU PM NAMBA YAKE!!! LOL!

WALE MBA ( MARRIED BUT AVAILABLE!!!!!) HAMHITAJIKI!!!!!! LOLEST!!! Divorced, engaged, in relationship, HAMHITAJIKI PIA!!! LOL! Hatutaki kesi sie!!!!

Fake IDS hazitazingatiwa LOL!!! Manake mtu ID ya dily unaibana unafungua moja fasta!!!!

PM YAKO NI SIRI !!!!!(Unless U Dont Care)!!!!!

MTAONUNA MNISAMEHE BURE LEO JPILI NIPO IN CHARITY WORK OF SAVING THE WORLD!!!! LOL!!!

I am addicted to your posts..lol
 
lara 1 Una maana anatafuta candidate wa u zombieeeeeeeeeee
 
hivi waijua gia ya four wheel? basi tumia hiyo utampata..........wenzio tunatumiaga stail hiyo tunawin lol!
 
Watu wagumu kuelewa!!! Yaani mentor ingekuwa mie niweke vigezo hivo? Try this!!!

1. Account iliyonona bank za maana, City Bank, Stanbic Bank (executive banking), Standard Chattered ikiwezekana iwe $$$$$$$

2. Mwenye jumba lenye swimmingpool na Jaccuzzi, bar counter yenye collection special ya mivinyo adimu sebuleni.

3. Nilipiwe bili za Yoga, Massage, Golf course na nilipiwe membership ya Daresalaam Yatch Club

4. NGOJA NIISHIE HAPO KWENYE DAILY EXPENSES MANAKE NIKIENDA PROPERTY WATU WATAKAUKIWA MATE KWA KUSONYAAAA!!! LOL!

Upo mentor hapo?
 
Ndo ipi tena? IMENIPITA HIYO AISEEE!!!! Embu nipatie fasta isijekuwa niko outdated!!!!
 
hiyo tunaitumia magwiji na inawork ile mbaya kwanza umeshamsoma gud luking gay anayetafuta cute gal? hebu msome kwanza kisha haya nitakupa baadae lol!
 
Watu wagumu kuelewa!!! Yaani mentor ingekuwa mie niweke vigezo hivo? Try this!!!

1. Account iliyonona bank za maana, City Bank, Stanbic Bank (executive banking), Standard Chattered ikiwezekana iwe $$$$$$$

2. Mwenye jumba lenye swimmingpool na Jaccuzzi, bar counter yenye collection special ya mivinyo adimu sebuleni.

3. Nilipiwe bili za Yoga, Massage, Golf course na nilipiwe membership ya Daresalaam Yatch Club

4. NGOJA NIISHIE HAPO KWENYE DAILY EXPENSES MANAKE NIKIENDA PROPERTY WATU WATAKAUKIWA MATE KWA KUSONYAAAA!!! LOL!

Upo mentor hapo?

Mh! Halafu hapo kwa urafiki tu!

Mie ninao wengi kwenye waiting list, tena wanaongoja kufanya kweli si just friend!
 
Mwanaume wa sifa zote hizo awe anamsubiri yeye?!!

Anyway subiri kesho siku ya kazi wataku pm na computa za ofisini.
We si unataka mwenye kazi!!.

Hata dada mwenyewe ana sifa zake za kutosha ndo maana kademand hizo standards!!!!! LOL! Smthn good for something good!!!!
 
Watu wagumu kuelewa!!! Yaani mentor ingekuwa mie niweke vigezo hivo? Try this!!!

1. Account iliyonona bank za maana, City Bank, Stanbic Bank (executive banking), Standard Chattered ikiwezekana iwe $$$$$$$

2. Mwenye jumba lenye swimmingpool na Jaccuzzi, bar counter yenye collection special ya mivinyo adimu sebuleni.

3. Nilipiwe bili za Yoga, Massage, Golf course na nilipiwe membership ya Daresalaam Yatch Club

4. NGOJA NIISHIE HAPO KWENYE DAILY EXPENSES MANAKE NIKIENDA PROPERTY WATU WATAKAUKIWA MATE KWA KUSONYAAAA!!! LOL!

Upo mentor hapo?

ungemalizia na total card worth 10 mil kwa ajili ya fueling ya gari yako lol!
 
Watu wagumu kuelewa!!! Yaani mentor ingekuwa mie niweke vigezo hivo? Try this!!!

1. Account iliyonona bank za maana, City Bank, Stanbic Bank (executive banking), Standard Chattered ikiwezekana iwe $$$$$$$

2. Mwenye jumba lenye swimmingpool na Jaccuzzi, bar counter yenye collection special ya mivinyo adimu sebuleni.

3. Nilipiwe bili za Yoga, Massage, Golf course na nilipiwe membership ya Daresalaam Yatch Club

4. NGOJA NIISHIE HAPO KWENYE DAILY EXPENSES MANAKE NIKIENDA PROPERTY WATU WATAKAUKIWA MATE KWA KUSONYAAAA!!! LOL!

Upo mentor hapo?

unaweza nikumbusha yatch club membership now kiasi gani?
just curious
 
Mh! Halafu hapo kwa urafiki tu!

Mie ninao wengi kwenye waiting list, tena wanaongoja kufanya kweli si just friend!

Hahahaaaaa! Its a free world Bana! You can do whatever the hell you want!!!! LOL! Hata ukiamua kuweka thread unagawa dozi kwa totoz kali zitaku pm tuuu! LOL! Kila mtu anavoamua kutumia maisha yake!!!
 
Ukiwa mkaka wa sifa hizo
huwezi kuwa bored lol

labda uwe ugly saana
otherwise uko full booked most of time lol

Yea, kwanza ya nini yote kuwa na "mwanamke" ambaye ni bored?
If you're bored then you're boring.
 
isn't it funny kwamba watu wanakuja na mabango
with conditions??

while the fact kwamba inabidi uweke bango it simply means
hauko that in demand?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hodi hodi humu ndani!!!!

Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu!

:focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She was outside the market for too long, she has forgotten the husttles!!!! LOL! Sasa mimi nataka kumuonesha there are FEW GOOD MEN LEFT!!! LOL!

Anatakiwa mtu ambaye maybe nae yuko bored na maisha anahitaji company, au hajabahatika kupata the one( its worth a trial), au nae kapewa cha mbavu soon! na ANGEPENDA kuenjoy new company ya huyu dada, for chatting na kubadilishana mawazo tu! Mkielewana mengine mi simoooo!(U never know till you know) LOL! Purpose kubwa ni WEWE HUNA MTU ANAEKUKIP BUSY, NAE YUPO BORED, SASA NYIE HAPO MNAKIPIANA BUSY.Ishu ni kuwa friends na kupunguza boredom!!!!!

SIFA ZA MDADA!!!
Good looking, si mnene wala si mwembamba.
Ana kaelimu ka degree,
Ana kakazi cha kubadili mboga
Mcha Mungu!!!(sio lara 1 zee la kuchop chop)
Interesting (Huboreki ukikaa nae)
Good mannered (Sio wa kishua, ila sio wa uswazi)
Anaheshimu kila mtu.
Age 24yrs, Weight 64Kg, Height ya kati

MKAKA ANAYETAKIWA
Good looking( LAZIMA UJIAMINI MWENYEWE)
Msomi
Kazi muhimu
Mcha Mungu (sio mzugaji)
Good Mannered
Anaejielewa (sio kuwaza game tu mda wote!!!)
Mwenye busara zake
Age 25 to 30, Tall.

IF YOUR INTERESTED PM ME, NA MSHAWISHI KUWA YOU ARE THE COMPANY!!! LOL! COZ TUKO NAE HAPA ATAKUWA ANASOMA NA AKIRIZIKA ATAKU PM NAMBA YAKE!!! LOL!

WALE MBA ( MARRIED BUT AVAILABLE!!!!!) HAMHITAJIKI!!!!!! LOLEST!!! Divorced, engaged, in relationship, HAMHITAJIKI PIA!!! LOL! Hatutaki kesi sie!!!!

Fake IDS hazitazingatiwa LOL!!! Manake mtu ID ya dily unaibana unafungua moja fasta!!!!

PM YAKO NI SIRI !!!!!(Unless U Dont Care)!!!!!

MTAONUNA MNISAMEHE BURE LEO JPILI NIPO IN CHARITY WORK OF SAVING THE WORLD!!!! LOL!!!

Unakula commision asilimia ngapi?? Nways wacha nijaribu bahati yangu. Who knws??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom