Mkaazi wa Bagamoyo aota maziwa...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
maziwa.jpg
Anaitwa Khamis, ameota matiti kwa kutumia ARVS
 
Dah! ana matatizo kwenye ini? isije ikawa androgens zimemzidi kiasi cha Ini kushindwa kuziharibu. Ni ARV zinaliharibu ini? Yaani nina mswali kibao
 
Ama kweli kila kitu kina pahala pake. Babada ya kupendeza hizo Bobs kama zingekaa kifuani kwa mwanamke, hapo zilipo zintisha!
 
Pole yake uyu ndg wa b'moyo kwani ni mmoja wa victims wa janga lijulikanalo kwa jina ccm lisilojua kuwajibika kwa wananchi wake
 
I attended one PhD presentation earlier this year,the same effects of ARVs supported with a picture like this (not belonging the same person though)were revealed.

That's really bad...........
 
Mkuuu hiyo habari sio ya leo, ilikuwa Mtwara hiyo mwaka jana picha ililetwa hapa, na magazeti yakaandika!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom