Mjumbe Hauawi: Please Soma Huu Ujumbe!

Status
Not open for further replies.
Mnataka kusema kuwa kwa mtaji huu Mwenyekiti wa CHADEMA amekaa kimya makusudi au ameshatumbikiza mchango wake tayari.
 
Ktk huo ujumbe Mxxxxx ni nani??? Mrema, Mbowe au nani???

Na huyo ndesamburo aliyetajwa ktk huo ujumbe ni yule MH wa moshi mjini????

wachaga wote wanaweza changa ila sio mzee lyatonga!!!!
 
Mods, naomba hii thread ifutwe, sababu we can all tell kuwa imeandikwa kwa ajili ya kutupaka matope sisi wa mkoa wa Kilimanjaro.

Mzee ES, najua wewe umeletewa tu copy, lakini aliyeandika alikuwa na nia mbaya ya kuwapa matope wachagga.

Hata kama michango inaombwa isingeombwa ki hivi.
 
I support!!!!!
 
Ni rahisi sana nadhani kabla hujasema ujumbe ni wa uongo ama kweli ungejaribu kuifuatilia hiyo account iliyotolewa hapo juu ujuwe ni ya nani?
 
Joka kuu,
Hapa umenimaliza kweli kweli ha ha ha, yaani kwenda kuwaona Real Madrid? mimi hiyo naona ni madogo, tunataka kwanza anayedai yeye ndiye aliyemuweka urais afikishwe mahakamni. NaJaji atakayetuletea uhanisi ni kuchoma na moto yeye na familia yake yote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom