Mjukuu na babu yake

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Mzee mmoja akiwa ametulia nyumbani na mjukuu wake ikiwa ni mida ya darasani, mara ghafla akamuona mwalimu kwa mbali anakuja uelekeo wao...... BABU: jifiche mjukuu wangu mwalimu anakuja kukufuata umetoroka shuleni.
MJUKUU: Jifiche wewe asikuone maana nilimdanganya kuwa nyumbani kuna msiba Babu umekufa kwahiyo akikuona atajua nimemdanganya BABU: Unasemaje........???
 
ah haaa haaa.....................dogo alimtanguliza babu mebele za haki kimya kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom