Mjukuu akakatisha uhai wa Mama Malcom X………..!

mama wa kijana huyo ariathirika kwa ukatili aliofanyiwa baba yake mzazi,ndo maana aliacha chuo na dini kisha akajiingiza kwenye ulevi uliompelekea kupata ujauzito kwa mme asiyejali malezi ya mtoto na hata baada ya dada yule kuolewa aliangukia kwa mme katili aliyemtenda kwa ukatili mbele ya mtoto wake na hivyo mtoto yule kuathirika kwa ukatili alifanyiwa mama yake.Aidha tumeona hekima ya jaji katika kutekeleza kesi ya mtoto yule.

kwa kifupi jamii inabidi tuwe makini kwa malezi na vitendo vyetu mbele ya watoto vinginevyo tutateketeza taifa.

asanteh sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom