Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha

Asalam alaikum,

Habari za masiku ndugu zanguni.

Naanza kwa jina la Mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake! mwenye kujua ya dhahiri na ya siri (yaliyo mioyoni mwetu) na rehma zimfikie kipenzi chetu Muhammad SAW.

Je Ponda ni nani?

Mimi awali nilikuwa najua Ponda na Kundecha kuwa ni wanaharakati wenye kupigania haki za waislamu lakini imeniuma sana kujua undani wa hawa watu! Mimi ni mwislamu na siku zote nilikuwa naona jamaa wanafanya kazi kwa maslahi ya umma wa kiislamu lakini kumbe kuna mambo nyuma ya pazia.

Manji Vs Ponda & Co

Kuna uwanja ambao ulikuwa mali ya East African Muslim Welfare Society na kurithishwa kwa bakwata sehemu ya eneo lile ambalo lipo maeneo ya chang'ombe bakwatwa ililiuza/gawa kwa jumuia ya shia ismailia ambao na wao walikuwa wana hisa kwenye East African Muslim Welfare Society na Ismailia wakamuuzia Manji.

Mkiangalia hapo juu hakuna mgogoro wowote wa kati ya Manji na Waislamu ila kina Ponda inavyoonyesha walikodiwa ili kuweka mazingira ya kumfrastrate manji apauze kwa bei poa.

Leo tumuulize Ponda alilipwa kiasi gani kuhakikisha Manji hapamiliki pale? na kwanini walinyamaza baada ya manji kukitema kiwanja kile? Kwa akili ndogo ya kuzaliwa utajua kuwa Ponda & Co walitumika kufanya umafia ili kiwanja kipatikane kirahisi.

Kukamatwa kwa Ponda.

Kuna eneo ambalo limebakia kwenye kiwanja cha East African Muslim Welfare Society ambacho kinasemekana kuuzwa miaka minne au mitano iliyopita Ponda na group lake walivamia siku ya Ijumaa na kujenga msikiti wa muda na kuweka mabaunsa na baadhi ya waumini kwa madai kuwa kiwanja ni cha waislamu! yale yale yaliyomkuta Manji! na habari za chini ya kapeti ni kuwa Ponda na watu wake wamelipwa 15 Mil kumobilize uvamizi ule!

Huyu jamaa anatumiwa kwa kuwa anaushawishi kwenye jamii yetu ya waislam lakini leo hii kama Mungu atadhihirisha kuwa anayoyafanya hayafanyi kwa ajili ya waislamu ila kwa maslahi ya mabwana zake basi nadhani shingo yake itakuwa halali ya Waislamu. Kwani wale waliokamatwa jana usiku pale Chang'ombe wengi wao hakupata mgao wa tajiri anaepataka pale zaidi ya chai ya asubuhi chakula cha mchana na maji ya chupa!

Najua kuna wanahabari humu jamvini mkimuhoji jaribuni kumhoji issue ya manji iliishaje? je walilipwa nini baada ya kufanikisha zoezi lile?

Narudia waislamu ifike muda tuchukue muda wa kufikiria tusikubali kuburuzwa na viongozi wanaoangalia matumbo yao na kusababisha matatizo kwa waislamu wasiojua set up ya matukio husika.

Ahsanteni sana na ni matumaini yangu mmepata kitu juu ya mada hii.

muongo na mnafiki mkubwa wewe!!!
 
Nadhani wewe ndio hufahamu omba ujulishwe kiwanja kile kilitolewa na Nyerere kujengwe chuo kikuu cha kiislam wakati wa East African Muslim Welfare Society. Wakati huo Waislam walikuwa wanajumui moja tu! yaani madhehebu yote yalikuwa chini ya chombo kimoja nachi ni East African Muslim Welfare Society baada ya kuvunjwa ile ardhi ilihamishwa na kumilikiwa na chombo kipya nacho ni Bakwata wakati huo Ponda hajulikani hata! Baadae Bakwata ikakiwanya kiwanja kile kwa jumuia za kiislamu zilizokuwemo kwenye East African Muslim Welfare Society. Dhehebu la Ismailia lilipewa eneo waliloliuza kwa muumini wao Yusuf Manji kwa ridhaa yao wenyewe! Yusuf Manji hakulinunua eneo lile kutoka kwa Bakwata kina Ponda wanajua hili lakini wanawatumia watu wenye ubongo mdogo kama wewe kufanya fujo ili wao wafaidike!

Kipande kingine waligaiwa Madhehebu ya Ibadhi, Ibadhi nao wakauza kwa muumini wao na kipande kingine walipewa Sunni wamejenga shule ya DYCCC, kipande kingine kuna Markaz kilichobakia kikawa cha bakwata ambacho wameuza na kupewa kiwanja kingine che ukubwa wa hekari 100! ili lile lengo la kujenga chuo cha kiislamu litekelezwe kule kwenye zile heka mia moja. Kina Ponda wanajua hilo lakini hawataki wanataka aliewatuma ndio amilikishwe pale na wao walipe ujira wao!

umenifumbua macho.
 
apewe ultimatum ya masaa 12 asionekane Tanzania...hatuhitaji wasumbufu hapa mbingu ya amani.....ikishindikana detention ya miaka 70
 
Wasomi hao wamuulize ile vita kuhusu uwanja uliouzwa kwa manji ambao ni sehemu tu ya sehemu hiyo hiyo wanayoidai leo waliimalizaje? je walitumiwa na anaemiliki sasa na wakanyamazishwa kwa pesa? je wameikodisha na wanalipwa rent? au walilipwa kiasi gani kwa shughuli ile? maana inasemekana hii kazi mpya wameshapokea 15 Mil kwa mtu anaepataka pale.

Fungua macho hakuna issue ya uislamu hapa kuna vigogo wanapigana vikumbo kuchukua ile ardhi kina Ponda wanatumiwa kufanikisha mission refer to Manji vs Waislam saga.

hizo mill. 15 umeziona wacha kutumiwa kijinga!
 
Nadhani wewe ndio hufahamu omba ujulishwe kiwanja kile kilitolewa na Nyerere kujengwe chuo kikuu cha kiislam wakati wa East African Muslim Welfare Society. Wakati huo Waislam walikuwa wanajumui moja tu! yaani madhehebu yote yalikuwa chini ya chombo kimoja nachi ni East African Muslim Welfare Society baada ya kuvunjwa ile ardhi ilihamishwa na kumilikiwa na chombo kipya nacho ni Bakwata wakati huo Ponda hajulikani hata! Baadae Bakwata ikakiwanya kiwanja kile kwa jumuia za kiislamu zilizokuwemo kwenye East African Muslim Welfare Society. Dhehebu la Ismailia lilipewa eneo waliloliuza kwa muumini wao Yusuf Manji kwa ridhaa yao wenyewe! Yusuf Manji hakulinunua eneo lile kutoka kwa Bakwata kina Ponda wanajua hili lakini wanawatumia watu wenye ubongo mdogo kama wewe kufanya fujo ili wao wafaidike!

Kipande kingine waligaiwa Madhehebu ya Ibadhi, Ibadhi nao wakauza kwa muumini wao na kipande kingine walipewa Sunni wamejenga shule ya DYCCC, kipande kingine kuna Markaz kilichobakia kikawa cha bakwata ambacho wameuza na kupewa kiwanja kingine che ukubwa wa hekari 100! ili lile lengo la kujenga chuo cha kiislamu litekelezwe kule kwenye zile heka mia moja. Kina Ponda wanajua hilo lakini hawataki wanataka aliewatuma ndio amilikishwe pale na wao walipe ujira wao!

Nadhani hii ni Elimu tosha kwa mimi na naf! thanks mate!
 
hawapo kwa ajili ya waislam wapo kwa maslahi yao. Huyo kundecha kipindi cha kampeni katembelea Tz nzima kumkampenia jk misikitini, akiwashawishi waumini wamchague muislam jk mbona hakumuombea kura muislam kama Hashim rungwe? Wote wapo kwa maslahi yao ila uislam ni kama kichhaka chao cha kujificha. Miaka ya nyuma lipumba alikuwa akipambana na wakristo watupu, kina mkapa. Mbowe, cheyo, mrema. Mbona hakupita misikitin kumuombea kura Ripumba?
 
PHP:
nakuunga mkono japo naendelea na utafiti wangu kuhusu huyu mrundi,hiyo avatar yako inaonyesha unatekeka kirahisi na wageni,wale vilaza kutoka mombasa naona wameshakula kichwa kwako.

hiyo ni propaganda za watawala kuwapa maneno mazuri kumpaka ponda ili aweze kufanyiwa anachofanyiwa
Kimsingi wewe na mweznio wote hamujui ponda.
Haya ponda hatetei uislam we na sheikh mkuu wako mmetetea lipi la waislam tangu mpo mjini au kazi yenu kuchukua hela za kampeni ya sensa na kuandamana.
dini hamuwezi hata sala ya subhi unaweza kua unamwaka hujasali jamaa msikitini leo unampinga kundecha /ponda unajua uwezo wao wa kutekeleza ibada
acha blaa blaa kama wewe mwislam poa kaa hivo hivo, umemuona mursi wa misri kwenye UNGA amekalipia aliyemtukana mtume sheikh wako na wewe mmesema nini

DINI huwezi acha kelele yaweza hata kua umeoa mkristo au hata mkeo havai sitara, mnatia aibu kama dini imekushinda be silent
 
Mleta uzi unatumika vibaya,inaonekana akili yako haina uwezo wa kutafakari,unameza na kutema mazima mazima
 
KUNAWATU wanapenda kufuatilia maisha ya watu wengine KISA TU WIVU! basi kama wewe hauna kasoro mshukuru mungu wako na si kuanza kukejeri maisha ya watu wengine. leo utaanza kusakama maisha ya ponda halafu kesho utaanza kumsakama mwingine pale anapoanza kutetea nafsi yake!
 
PHP:

hiyo ni propaganda za watawala kuwapa maneno mazuri kumpaka ponda ili aweze kufanyiwa anachofanyiwa
Kimsingi wewe na mweznio wote hamujui ponda.
Haya ponda hatetei uislam we na sheikh mkuu wako mmetetea lipi la waislam tangu mpo mjini au kazi yenu kuchukua hela za kampeni ya sensa na kuandamana.
dini hamuwezi hata sala ya subhi unaweza kua unamwaka hujasali jamaa msikitini leo unampinga kundecha /ponda unajua uwezo wao wa kutekeleza ibada
acha blaa blaa kama wewe mwislam poa kaa hivo hivo, umemuona mursi wa misri kwenye UNGA amekalipia aliyemtukana mtume sheikh wako na wewe mmesema nini

DINI huwezi acha kelele yaweza hata kua umeoa mkristo au hata mkeo havai sitara, mnatia aibu kama dini imekushinda be silent

Du! sasa naelewa tunadeal na watu wa aina gani. 'unaweza kuwa umeoa hata mkristo'kauli nzito sana hiyo.
 
Back
Top Bottom