Mjue Samaki Pweza (Jini)

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Amefanana kimaumbile na Ngisi...ni mtamu sana kwa wanaompenda!!
Lakini kuna baadhi ya vitu nahisi watu wengi watakuwa hawavijui kuhusu huyu mnyama/samaki pweza!!
Kwa wale wavuvi wanalitambua hili...huyu jamaa anavuliwa majini tofauti kabisa na samaki wengine,

Wachache/hakuna wanamvua kwa kutumia nyavu..lakini huyu jamaa anvuliwa kwa kutumia 'mdeke'(sindano ndefu kama mshale), akishapigwa kumfuata huyu jamaa chini ya maji inabidi usaule nguo zote,yaani uwe uchi!! ndio unaweza kumkamata...je walijua hili??

Tuendelee...!!

Ukishamtoa majini pale nchikavu inabidi uhakikikshe kweli kafa....unambonda sana hadi afe kabisa!!
Akiwa m'bichi ukampika..huruhiwi kumweka ndimu kwenye kikaango...ukiweka ndimu tu jamaa anayayuka!!
Yanabakia maji tu kwenye chungu...je walijua hili??

Na ndio maana watu wengi/wavuvi..wanamkausha juani.
Ukimkausha juani anatoa haruhu kali/mbaya sana...ukiwa kisirani unatapika kabisa, harufu yake mbaya mno...unajua kwa nini?? Nitafutie jibu...nikiweka jibu hapa mnaweza kujinyonga kabisa!!!

Sasa tuje kwenye mlo..!!huyu jamaa kwenye kumla kuna mchuzi wake flani mwekundu!! Wengi wanasadiki huu mchuzi ni ''jembe'' kwenye nguvu za kiume....unajua kwanini??&nbsp; halafu ukimla ana tabia ya kuwasha kwenye lips...<br><br>

Na ndio maana nikasema huyu jamaa ni jini!! Ila siwaambii msile....hapana!!

Ngoja niishie hapo!!
 
Wachache/hakuna wanamvua kwa kutumia nyavu..lakini huyu jamaa anvuliwa kwa kutumia 'mdeke'
(sindano ndefu kama mshale), akishapigwa kumfuata huyu jamaa chini ya maji inabidi usaule nguo zote,
yaani uwe uchi!! ndio unaweza kumkamata...je walijua hili??

Tuendelee...!!

Ukishamtoa majini pale nchikavu inabidi uhakikikshe kweli kafa....unambonda sana hadi afe kabisa!!
Akiwa m'bichi ukampika..huruhiwi kumweka ndimu kwenye kikaango...ukiweka ndimu tu jamaa anayayuka!!
Yanabakia maji tu kwenye chungu...je walijua hili?? Na ndio maana watu wengi/wavuvi..wanamkausha juani.

Ukimkausha juani anatoa haruhu kali/mbaya sana...ukiwa kisirani unatapika kabisa, harufu yake mbaya mno...unajua kwa nini?? Nitafutie jibu...nikiweka jibu hapa mnaweza kujinyonga kabisa!!!

Sasa tuje kwenye mlo..!!huyu jamaa kwenye kumla kuna mchuzi wake flani mwekundu!! Wengi wanasadiki huu mchuzi ni ''jembe'' kwenye nguvu za kiume....unajua kwanini?? halafu ukimla ana tabia ya kuwasha kwenye lips...

Na ndio maana nikasema huyu jamaa ni jini!! Ila siwaambii msile....hapana!!

Ngoja niishie hapo!!
Ahahaha! Pweza sio Samaki, jaribu tena
 
Ukishamtoa majini pale nchikavu inabidi uhakikikshe kweli kafa....unambonda sana hadi afe kabisa!

Sababu yakumponda pweza ni kulainisha nyama yake bila kufanya hivyo inakuwa ngumu sana kutafuna. Usitake kudanyanya watu, wengine tumekua tukienda feri mnadani.
 
Sababu yakumponda pweza ni kulainisha nyama yake bila kufanya hivyo inakuwa ngumu sana kutafuna. Usitake kudanyanya watu, wengine tumekua tukienda feri mnadani.

Hukufundishwa kila kitu et ur time...samaki hadi dagaa anabondwa kama ulikuwa hujui...ujue ukiwa mtoto huwa tukidanganywa sana!!haahaaa
 
The octopus ( /&#712;&#594;kt&#601;p&#650;s/) is a cephalopod
mollusc of the order Octopoda. Octopuses
have two eyes and four pairs of arms, and
like other cephalopods they arebilaterally
symmetric. An octopus has a hard beak,
with its mouth at the center point of the
arms. Octopuses have no internal or external
skeleton (although some species have a
vestigial remnant of a shell inside their
mantle), allowing them to squeeze through
tight places. Octopuses are among the most
intelligent and behaviorally flexible of all
invertebrates.
The octopus inhabits many diverse regions
of theocean, including coral reefs, pelagic
waters, and the ocean floor. They have
numerous strategies for defending
themselves against predators, including the
expulsion of ink, the use of camouflage and
deimatic displays, their ability to jet quickly
through the water, and their ability to hide.
An octopus trails its eight arms behind it as
it swims. All octopuses are venomous, but
only one group, theblue-ringed octopuses,
is known to be deadly to humans.[3]
There are around 300 recognized octopus
species, which is over one-third of the total
number of known cephalopod species. The
term octopus may also be used to refer only
to those creatures in thegenus Octopus.
 
Toa vifungu nilivyoongopa...
Pweza havuliwi uchi, na hujificha kwenye majabali ya baharini kwani yanafanana na rangi yake.Pweza hupigwa ili kulainishwa, sio kwamba afe.Pweza akivuliwa, mara moja huuliwa kwa kugeuza kichwa chake ndani nje. Yaani sehemu ya ndani ya kichwa hutolewa nje na ile ya nje hutolewa nje.Labda pweza wa bwawani pale HOMBOLO Dodoma ndio majini.
 
Pweza sio samaki, yupo kundi la viumbe waitwao Cephalopods (kichwa na miguu vimeungana), pia ni moja ya viumbe wasio na uti wa mgongo (Non-Chordata) wakati samaki ni viumbe wenye uti wa mgongo (Chordata). Pweza ni Noctornal (anapenda kutembea usiku) na anakula samaki, kamba koche, kaa n.k. Wakati wa mchana na hasa maji yanapotoka (low tide) yeye anapenda kujificha kwenye mawe na miamba midogo midogo iliyopo karibu na fukwe. Pweza anavuliwa kwa kuzamia ni sababu siku hizi pweza wamepungua (wanavuliwa sana), enzi za zamani uvuvi wa pweza ulikuwa unafanywa na wanawake na watoto wakipita pita fukweni kipindi maji yametoka na wanawachokoa pweza miambani na kwenda kutengeneza kitoweo.

Pweza anapigwa ili kulainishi misuri yake (tenderization) vinginevyo kumla anakuwa mgumu, njia nyingine ya tenderization ni kumweka kwenye barafu kwa at leat 24hrs au kumtengeneza ng'onda (drying). Pweza sijui ila anaweza iga rangi na maumbo mbalimbali (camouflaging and mimicking), mfano pweza akiwa mwambani rangi yake inafanana na rangi ya mwamba hivyo unaweza mpita usijue kama yule ni pweza. Mimicking; pweza anaweza jigeuza umbo akaonekana kama bunju ukampita kumbe ni pweza!!

Pweza ni mtamu na it is believed kwamba ni Aphrodiasic (anaongeza nguvu za kiume), ili hata mimi nilithibitisha niliwahi ishi Nungwi Zanzibar kule wanapenda sana kutengeneza "mchuzi wa pweza" wakitumia pweza walioanikwa yaani ng'onda, acha tu...
 
Hakuna jini hapa, akivuliwa asipouawa haraka hu-release venome ndani ya mwili wake as a form of defence hivyo kufanya misuli yake kukakamaa so akipikwa haivi.
 
Amefanana kimaumbile na Ngisi...ni mtamu sana kwa wanaompenda!!
Lakini kuna baadhi ya vitu nahisi watu wengi watakuwa hawavijui kuhusu huyu mnyama/samaki pweza!!
Kwa wale wavuvi wanalitambua hili...huyu jamaa anavuliwa majini tofauti kabisa na samaki wengine,

Wachache/hakuna wanamvua kwa kutumia nyavu..lakini huyu jamaa anvuliwa kwa kutumia 'mdeke'(sindano ndefu kama mshale), akishapigwa kumfuata huyu jamaa chini ya maji inabidi usaule nguo zote,yaani uwe uchi!! ndio unaweza kumkamata...je walijua hili??

Tuendelee...!!

Ukishamtoa majini pale nchikavu inabidi uhakikikshe kweli kafa....unambonda sana hadi afe kabisa!!
Akiwa m'bichi ukampika..huruhiwi kumweka ndimu kwenye kikaango...ukiweka ndimu tu jamaa anayayuka!!
Yanabakia maji tu kwenye chungu...je walijua hili??

Na ndio maana watu wengi/wavuvi..wanamkausha juani.
Ukimkausha juani anatoa haruhu kali/mbaya sana...ukiwa kisirani unatapika kabisa, harufu yake mbaya mno...unajua kwa nini?? Nitafutie jibu...nikiweka jibu hapa mnaweza kujinyonga kabisa!!!

Sasa tuje kwenye mlo..!!huyu jamaa kwenye kumla kuna mchuzi wake flani mwekundu!! Wengi wanasadiki huu mchuzi ni ''jembe'' kwenye nguvu za kiume....unajua kwanini??&nbsp; halafu ukimla ana tabia ya kuwasha kwenye lips...<br><br>

Na ndio maana nikasema huyu jamaa ni jini!! Ila siwaambii msile....hapana!!

Ngoja niishie hapo!!

Kwenye buluu alokuhadithia mwambie akuhadithie tena

Kwenye nyekundu ni uongo mtu.
 
Sizinga, Pweza sio samaki yupo kwenye kundi la Animalia, sikulazimishi lakini ukubali

Mkuu maelezo yako hayajitoshelezi....Animalia ndio kitu gani??kwani pweza ananyonyesha??bora maelezo ya Limbani yanajitosheleza!!
 
Kama majini ni watamu namna hii, basi nitaendelea kuwatafuna kwa spidi mpya ili kupunguza idadi ya majini, na huyu jini wazungu wanamuita octopusy.
 
Ndio maana ata ukienda kwenye hoteli za kimataifa ukiomba menu ya chakula, utakuta kuna Fish and Seafood, pweza unamkuta kwenye Seafood, kwa hiyo pweza
sio Samaki kiumbe wa baharini kama vile Kaa, kuna viumbe vingi sana baharini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom