Mjue kijana machachari Saif Al Islam

dah wazungu wanatumaliza waislamu

mzungu anatoka wapi kinachowamaliza ni dhambi zilizomo ndani ya nafsi zenu acheni dhuluma..............na mtapata shwari ya milelel amina...........
 
mzungu anatoka wapi kinachowamaliza ni dhambi zilizomo ndani ya nafsi zenu acheni dhuluma..............na mtapata shwari ya milelel amina...........
Hujui anakotoka mzungu! Haya ww subiri akifika kwako ndipo utakapomtambua. Wewe jifanye hujui, huoni na wala husikii Dunia inaendaje!
 
Jamani wasimuue , wamfikishe the Hague akajibu mashtaka yake kuliko kumdhalilisha kama baba yake na kisha kumuua kinyama na kumwanika buchani kama mzoga.

Hili ni fundisho kwa watoto maraisi wanaojiona wao ni Mungu watu.

Saif wish you all the best in the hands of your enemies.
 
Back
Top Bottom