Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
zaidi ya kubania comments zinazosema ukweli kuhusu viongozi wa serikali hana kosa lingine lolote ninaloona.mungu aendelee kumjaalia katika maisha yake labda siku moja atakuwa na nguvu zaidi ya kuwapa uhuru wa kutoa maoni wanablogu wake.
Mkuu Wenger hii siku haiwezi kuja kama jamaa napitisha tumbowazi mbele ya mafisadi, na ukumbuke mafisadi wanaogopa sana forum kama hizi kwahiyo inabidi tumkomalie Michuzi aache hii tabia ya kubania mawazo ya watu wenye uchungu na nchi yao bwana. Ala tuache kubembelezana wakati wa ukombozi wa kiuchumi, kifikra ndio huu ndugu zangu, tukiona mwenzetu haeleweki na tunamshauri hatusikii tunamuacha njia panda tu atajua mwenyewe apite wapi