Mjue Issa Michuzi

Status
Not open for further replies.
Hicho cheusi alicho shika ni nini?
Kinatumika kwenye nini hicho mimi sioni vizuri.
Au ni kinyago sasa kanunua cha nini wakti huku bongo vipo kibao.
 
Its time for people to show their TRUE colours!!Well,tumekusikia.
 
wewe game theory,kwanini michuzi can not be a presidential photographer,huyo aliopo sasa hivi ana merit gani zaidi ya michuzi,au by virtue ya yeye michuzi kuwa mtoto wa mjini disqualifies him? kuna times i try to analyse your postings,but frankly speaking me always seems to reach a dead end.To hate a player just for the sake of hating is a cardinal sin.its the game that we should hate
 
Huyu ndiye walitaka kumpa awe mpigapicha wa JK. What a load of crap he is. Alishaanza kujisifu ohhh wanataka kunipa cheo kikubwa kule IKULU kisha kaenda London akaanza kupiga mapicha kwenye dula la ma dildo

says alot about the man and where his priorities lie
STA70161-1.jpg


maana huyu naona hata vetting ya siku nzima haikutakiwa


lakini ndio selebriti wetu huyo


Please, Game Theory. Una chuki yoyote na huyu Issa Michuzi??? This is too personal to discuss here, it is a private affairs, say socially. Tujitahidi tusi attack personalities. Tuibue issues muhimu za taifa kama haya yanayoendelea mahakamani kuhusu EPA na mengineyo kama haya.

Mimi nahisi Michuzi alitaka tu kupiga nalo picha hilo na si kuwa ana matumizi nalo au tu pengine kuwa nalo katika achive yake!!!! Jf tuwe makini na aina fulani za postings, nyingine zinapotezea watu mwelekeo ili wasichangie issues nyeti. Nimefurahia members mmoja ameuliza kama huyu ni the true GT au kuna mtu amemwibia password yake!!!!!!
 
wewe game theory,kwanini michuzi can not be a presidential photographer,huyo aliopo sasa hivi ana merit gani zaidi ya michuzi,au by virtue ya yeye michuzi kuwa mtoto wa mjini disqualifies him? kuna times i try to analyse your postings,but frankly speaking me always seems to reach a dead end.To hate a player just for the sake of hating is a cardinal sin.its the game that we should hate

hafaiiiiiiiiiiiiii kabisssssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!kama nduguyo samahani!!!!!!!!!
ila nampenda sana kija anapenda kusakizia mizoga wenzako huku akiyakimbia!!!
dat gud,na nyi ma cel...muwe makini kama kijana
 
Katika kumbukumbu zangu niliona hii picha katika blog ya michuzi, but ilikuwa na msg fulani chini yake. GT kwa kuweka picha hii bila maelezo yake umeficha maana halisi ya michuzi kupiga picha hii, hvy nahisi ni personal attack zaidi kuliko unachotaka kutueleza. Ningeshauri uiweke upya na maelezo husika ili watu wachangie kulingana na maelezo ya Michuzi katika picha.

nadhani umetambua kuwa wengi tuna imani na mtazamo wako katika michango mbali mbali
 
Hicho cheusi alicho shika ni nini?
Kinatumika kwenye nini hicho mimi sioni vizuri.
Au ni kinyago sasa kanunua cha nini wakti huku bongo vipo kibao.

Artificial penis, anaenda kutwanga. (mawazo yangu, sina uhakika)
 
Labda GT kachukizwa na picha za michuzi alizotoa jana kuhusu sakata la Mramba na Yona .. naye akaamua kumlipua huku. We always buy so many stuff and keep them at our lovely home, tena hata na mahiridhi kwa wengine. What is wrong for him to acquire that stuff? Kwanza Bongo hakuna... faida ya kutembea si kununua nguo tu....
 
jamani, kwa sisi tunaomjua michuzi,huyu jamaa anastahili pongezi.this guy has been a fighter throughout.through sweat and grit jamaa amescale heights.from humble beginnings a street and disco photographer this guy schooled.kwa mtu anayemjua michuzi for lets say the past twenty years,hawezi kunielewa,but all in all he deserves kudos of the highest respect
 
Mi nahisi kuna mtu kamuibia GT password.... Huyu siye yule GT wa siku zote

I agree with you asilimia mia moja, mods kama mnayo namba yake mumpigie simu muhakiki kama ni yeye amebadilika tabia au ameibiwa password? Tusije tukawa tunakaa na kulaumu kumbe tunampoteza ndugu yetu ndani ya nyumba moja bila sisi kujua.

lol
 
Michuzi apewe pongezi zote tatu. Kwanza kwake yeye binafsi kama press photorapher, he has an eye for the art yaani artistick eye. Hata akitumwa mahali no matter how serious the assignment might be, he must get photos of something elsewhich is eye catching. Kitendo na uwezo wa kuona kuliko jicho la kawaida anastahili pongezi.

Pongezi za pili ni kwenye blog yake. Naamini ni moja ya blogs zinazotembelewa sana, zinazoheshimika sana na imemjengea Michuzi heshima kubwa sana as a journalist and a photographer.

Heshima ya tatu ni jinsi anavyo jichanganya na watu wa aina zote from presidential level to ordinary people to machingas and underprivilages. Kwa watu he is so humble and he is the man of the people.
Big-Up Muhidin Issa Michuzi, Big-Up Michuziblogsport.com.
Idumu Jamii Forum.
 
Jminishi1

Huyo ndio Muhidini Issa Michuzi (Baba Mamuu),owner of PHOTO POINTS (kuna wengine humu wanachangia lkn hata kumjua hawamjui) zote za Bongo kwenye masehemu mazuri mfano pale Mlimani city,nakule mikocheni.



Nahisi atakuwa amepata mafanikio ya kuridhisha kutokana na bidii na juhudi kubwa ambayo pia imedhihirika kwa wengi wanaomfahamu fika. Hongera Issa Michuzi. (For the record, Michuzi sio owner wa Photo Point)


Baada ya kuwemo kwenye kundi la celebrities, bwana Michuzi utegemee kukosolewa kwa matendo, kauli zako, tabia yako na kwa kila kitu. Hili ni zoezi muhimu sana japo wengi hapa jamvini bado hawajalizoea.
Nategemea kufuatilia kwa karibu maoni ya watu kama akina Kuhani, pindi hekaheka za uchaguzi mkuu zitakaposhika moto.


...he still made it better more than some of the current generation kids...he's smart and likable! He actually links the past generation to the current one! And being able to make it in a new gen. better than a new gen..he's then one of the kind! However..us together with him are also the victims of bad policies! Talking and broadcasting about sports was the only way to please the rulers!...and talking ABOUT POLITICS WAS DANGEROUS NOT ONLY FOR YOU BUT ALSO FOR THE FAMILYLI AFFAIRS! Mwalimu wanted citizens to just talk about Sports and not politcS! MITHUPU STILL MADE IT!f FOR ALL WHO SHARED THE PAIN WILL SUPPORT MITHUPU..AND FOR THE NEW GEN..THEY SHOULD KNOW MITHUPU FOR HIS CHARISMATIC! MICHUZI...IF YOU RUN FOR THE MEMBER OF PARLIAMENT..I SWEAR TO GOD THAT I WILL DROP EVERYTHING AND CAMPAIGN FOR YOU...YOU IS THE ROLE MODE AND PLS KEEP IT UP..AND WHY DONT KIKWETE CHOOSE YOU AS THE PARLIMENT MEMBER AND EVENTUALLY A MINISTER FOR SPORTS? THE ONLY DIFF WAS THAT MA DAD WA SIMBA AND I BECAME SIMBA AND YOU WAS YANGA..THAT I LIKE IT NOW DUE TO THE HISTORIC AND PATRIOTISIMS ISSUES!


Hapa ndipo mahala wengine tunashindwa kujizuia kukaa kimya. I hope you're not just saying it. Huyu Michuzi hakika atakuwa ni bab-Kubwa!


....Mwisho kabisa, nadhani Watanzania lazima tujifunze tabia ya kuvumilia kukosolewa!


Mwiba ali-challenge kauli ya Mwakyembe, watu wakacharuka kama mbogo aliyepondwa pumbu.




.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom