Mjue fundi MASHUHURI wa Kushona VAZI rasmi la CHADEMA(CDM)

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Kwa yeyote anayehitaji kushonewa VAZI RASMI la CDM awasiliane na fundi mashuhuri wa kuyashona Magwanda ya CDM anapatikana TUNDUMA .Namba yake ya simu ni +255 754 649 025

Karibuni wote
 
R u serious! Kwa hiyo tenda yote inatoka tunduma? Hata nikimpigia hiyo simu atajuaje vipimo vyangu? Au ndo ile jaribu jaribu
 
Yah tupo pamoja! Lakini bado sijajua taratibu za haki miliki zipoje? Tunaomba kujua hapa dar ni eneo gani twaweza kupata sare hii?
 
Kwa yeyote anayehitaji kushonewa VAZI RASMI la CDM awasiliane na fundi mashuhuri wa kuyashona Magwanda ya CDM anapatikana TUNDUMA .Namba yake ya simu ni +255 754 649 025

Karibuni wote
Safi sana, nipo Mbeya lazima nifanye kweli
 
Jamani tujaribu kudiversify upatikanaji wa sare zetu hizi maana maeneo mbalimbali watu wanahitaji lakini hazipatikani kiurahisi...na sie tupendeze kwenye sare zetu!
 
Nileteeni niwashonee, mwaka jana nilishona kama 200, ila ni order special sishoni moja moja.
 
Ahsante kwa taarifa hii maana tulikuwa tunazitafuta sana.vipi kuhusu bei zikoje?
 
Namwoma Mh. M/kiti wa cdm wa mkoa wetu Arusha au yeyote anayejua atumie hii thread kutuelekeza tunapoweza kuzipata sisi tuliopo hapa maana pale ofisini hazipatikani!
 
Namwoma Mh. M/kiti wa cdm wa mkoa wetu Arusha au yeyote anayejua atumie hii thread kutuelekeza tunapoweza kuzipata sisi tuliopo hapa maana pale ofisini hazipatikani!

Wewe usihangaike piga hiyo simu maelekezo yote atakupa wala hutapata shida.Just call +255 754 649 025

Wewe usihangaike piga hiyo simu maelekezo yote atakupa wala hutapata shida.Just call <b><font size="4">+255 754 649 025</font></b><br />
<br />
<br />
<br />
Hata DODOMA KUNA FUNDI NGOJA NIKIENDA OFISI ZA CHAMA NTAWALETEA NAMBA ILI NA WATU WAKANDA YA KATI TUWEZE JUA ZINAPATIKANA WAPI.
 
Back
Top Bottom