Mjue Alhaji Aliko Dangote

kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
503
120
Jamaa ni bilionea halafu anaishi maisha simple sana inaelekea. Ukisikiliza stori yake lazima utakuwa insipired na wewe kuwa na mafanikio.



 
Last edited by a moderator:
jamaa utajiri wake ni self made...hakuna urithi wala kubebwa....kulaaaleki.....
 
jamaa ni bilionea halafu anaishi maisha simple sana inaelekea. Ukisikiliza stori yake lazima utakuwa insipired na wewe kuwa na mafanikio.





careful, do not take people at face value!
 
Last edited by a moderator:
Huyu bwana ni mmoja kati ya watu waliodaiwa wamekwiba kwenye mabenki ya kwao aliwahi kukimbiia Uingereza kilipoumana huko kwao ,hata hapa bongo ana ofisi ana kampuni yake ,pia huenda ndie atakayejenga kiwanda cha sementi huko Lindi,nafikiri mnakumbuka ule ugomvi wa Membe na Mdhihiri a,k,a joka la mdimu
 
Mmmh...sina uhakika sana na wizi...ninachojua ni mtu aliyeanza biashara kitambo sana...na kwa kule Northern Nigeria,jamaa ni kama Azam,kuanzia maji ya kunywa hadi juice ni dangote tupu....ninachokijua mimi,huyu jamaa ni katika wakopaji wakubwa kabisa wa UNITED BANK FOR AFRICA(UBA)...Na sio kusikia,jamaa atashusha kiwanda cha cement pale mtwara.....yuko vizuri though sijui kama ni Alhaji...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom