Mjomba Muhidin Maalim Gurumo ni Mgonjwa;

Latest News?

Bado Mjomba Gurumo hali yake si nzuri,Lakini kuna matumaini,ametoka ICU na amerudishwa Mwaisela No 1.Lakini bado anatumia mashine ya kupumulia,anaelewa na anazungumza kwa taabu.Hali yake kidogo imeimarika ukilinganisha na wiki iliyopita.Tuendelee kumuombea Mzee wetu Gurumo.
 
pole mzee gurumo ila habari nilizosoma asubuhi hii kutoka michuzi ameshatoka ICU na anendelea vizuri Mwenyezi Mungu ampe ahueni zaidi
 
Mwenyezi mungu amrehemu na amponye katika ugonjwa unaomsumbua. nampenda sana kaka yangu Gurumo ni mtu mwadilifu
 
Back
Top Bottom