Mjomba, Mtoto wa Nyoka Hafundishwi Kuuma


Kiswahili hiki mmmmh.

Alaska nadhani hicho ni kiswahili cha mazoea kwa maana kuwa kugogwa au kugoga haijumuishi muingiliano kati ya kinachogonga na kinachogogwa. Mathalani kugonga kengele, kugonga mlango, kugogwa na gari, kugonganisha glasi, n.k.. Lakini nia ya Nyoka katika kitendo kile huwa ni kupenyeza meno yake kwenye mwili wa adui yake.
 
anagonga na kuacha meno yake yenye sumu pale alipogonga,
kung'ata ni kuweka meno na kushikilia mpka linatokea jeraha mahali hapo, kuuma ni kuweka meno mpaka ukatoka na kipande cha eneo ulipoweka meno yaani unatoka na kitu kisha unaacha jeraha.
Nimejaribu kufafanua.!
 
Yote hapo juu ni sawia kabisa kwani msingi mkuu wa lugha ni kuwasiliana na kuelewana
 
Back
Top Bottom