Mji wa Tunduma hauna umeme kwa wiki tatu sasa

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Chanzo: Taarifa ya Habari ya ITV saa mbili usiku.

Wazee mmesikia hiyo? Inakuwaje mji ukose umeme kwa muda mrefu kiasi hicho!! Hiyo siyo hujuma jamani??? Wazee, si mnakumbuka jinsi wakazi wa Tunduma walivyokataa kuongozwa na mafisadi kupitia kwenye sanduku la kura??
 
Ww wamekosea hao ni kwamba hakuna umeme eneo la custom na sogea zaidi ya miezi mitatu, kisa transforma limeharibika.
 
kama sisiem wanakata umeme kwa makusudi ili kuwakomesha kwa kuwa kuna wapinzani wengi basi wajue pia wanaiumiza tanesco kwakuwa wafanyakazi wao watalipwa mishahara wakati watu hawajanunua umeme!.

pili hiyo si sababu ya raia kuipenda sisiem watu tumeshachoshwa na hiyo NGO iitwayo sisiem. kwahiyo hatutaichagua!.
 
CCM wamesikia Tunduma sio sehemu ya Tanzania? Wananchi wa Tunduma tutafute mkataba na Dowans au Richmond....
 
WATANZANIA NI WANGAPI HADI SASA (2005 - 2010) WENYE MAISHA BORA NA HADI HIVI SASA (2010 -2015) WAO WANAJIBIDISHA TU KUTAFUTA KIADA CHAKE NCHINI????

Watanzania wenzangu tuambizane ukweli hapa na tusifichane hali halisi ndani ya mifuko yetu. Mpaka hivi sasa wengi wetu HATUZUNGUMZII TENAUCHUMI wa maisha yetuTanzania bali hali halisi ni UCHUMA wa maisha yetu nchini. Je, wewe????

Baya zaidi, ajabu ninayoiona nkule bado CCM na JOPO LA MAFISADI wangependa Watanzania wote tukaseme tu YOTE NI MAISHA na kukimbilia kitanndani, baada kucheka na Masanja TBC, huku CC ya CCM wakibariki Dowans walimpwe.

Huku waliosbobea katika uchumi nchini wanatutahadharisha KIAMA DOWANS WAKILIPWA na kuongeza kuongeza kwamba tunachoona mpaka sasa kwa gharama ya maisha eti hapo bado ni mwanzo tu wa mapinduzi ya sinema nzima wa ahadi ya Maisha BORA ZAIDI kwa kila Mtanzania; na katika kutimiza hilo Mhe Kikwete na CCM wametuhakikishia dhamira zao za kutufikisha huko kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi.

Sasa Mtu endapo utakuwa hauoni MAISHA BORA ZAIDI basi wala usisubiri kuambiwa na mtu, Wenye kuona UGUMU ZAIDI KWA KILA NAFSI YAKE huyu si Mtanzania tena maana WATANZANIA WOTE waliopata ahadi hizo tangu siku nyingi tu (2005 - 2010) maisha yao ni bora kabisa hivi sasa (2010 - 2015) wanacho kitafu kiukweli ni Uziada wa UBORA HUO WA MAISHA.
HOJA YANGU:

Kwa mantki hiyo Mhe Kikwete na CCM, watu wa Takwimu nchini acheni kutu fikicha ukweli, Watanzania ni wastani wa watu wangapi nchini maana hili la watu milioni 46 wala sihitaji tafsiri ya mtaalamu kubani kwamba si kweli.
 
Mcjali watu wangu huko, ndo maisha bora kwa kila mtanzania. Mlichagua, tulieni.
 
Back
Top Bottom