Mji wa Kigoma upo gizani

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Wanajamii, mji wa Kigoma upo gizani wiki sasa. Hatujui nini tatizo na Tanesco wapo kimya tofauti na mikoa mingine ambapo huwa wanatoa taarifa ya kutokuwepo kwa umeme. Hali ni mbaya. Usalama kwa sasa ni duni. Hospitali pia ipo gizani. Kambi za jeshi 24KJ, RADAR, kituo kikuu cha polisi, gereza la Bangwe, bandari, TBC vyote vipo gizani. Tutafika kweli?
 
Mbona kuna Umeme leo?
I think ilikuwa shida ya mafuta, kwani walikuwa wanawasha usiku, but today umemo upo since mchana!
 
Hamieni burundi au kongo ya Kabila huku wanawazingua tu any way poleni sana ndg zng hii ndio Tanzania baada ya Tanganyika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom