Nyakageni JF-Expert Member Feb 1, 2011 15,045 5,092 Aug 10, 2011 #1 Nimezunguka vituo vyote vya mafuta katika mji wa Kahama ili kujinunulia mafuta lakini sijafanikiwa. My take: Serikali legelege ya CCM yaweza angushwa kwa tatizo hili. Nawasilisha
Nimezunguka vituo vyote vya mafuta katika mji wa Kahama ili kujinunulia mafuta lakini sijafanikiwa. My take: Serikali legelege ya CCM yaweza angushwa kwa tatizo hili. Nawasilisha