- Thread starter
- #21
Najua hapo watu wameghafilika na kumtaja Allah mwenye kuleta hizo neema.Ngoja nije niwajengee msikiti mzuri wa kufanyia ibada.Pindi akitokea yoyote akaweka vikwazo subirini ukame na mito yote kukauka.
Mkuu misikiti ipo mitatu pale na ni mikubwa,
Kama una mihela peleka shule, au hospital au Benki ya Amana ( ili wakulima wakope bila riba). Kwa imani yako huduma zingine utapata mtihani wa imani kwa mola wako.