Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...

Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii, ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
Eti wewe nawe ni mhandishi wa habari tangu lini na umesoma wapi?Nilisoma habari yako moja juu ya mauaji ya Dr Kruu,ulikuwa unaangaika tu hata unachosema hakieleweki...wewe ni kilaza tu,watumikie mabwana zako ccm lakini usijiite mhandishi wa habari.
 
Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii, ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Hivi na wewe unajiita mwandishi??? kapige picha kwenye harusi ebu
 
maggid, Michuzi, Shigongo wote wanajulikana ni waandishi wa habari wenye fikra duni, mawazo yao kila kukicha kulamba viatu vya wakubwa!
Mfano kama huyu maggid, hapa anajitafutia sifa kwa jeshi la polisi aonekane mtu mwema p.mbavu zake huyu!
It is my impression to say alifurahia mauaji yaliyotokea Iringa. Inawezekana kabisa Daudi Mwangosi alikuwa tishio kwa Maggid.
 
Last edited by a moderator:

Hii itakuwa VIGUMU I mean haitawezekana WAANDISHI WETU ni CCM in LOVE; Yaani kweli UTAMWAMBIA MICHUZI na

NDUGU ZAKE WAIGOMEE KUANDIKA HABARI ZA POLISI WA SERIKALI YA KIKWETE? Na Unajua Vitrip anapata Vya

kutosha Nje ya Nchi? Kweli Utasema MENGI na TV na RADIO yake Isiandike ya POLISI WA KIKWETE wakati anaalikwa PARTY

ZOTE KUBWA IKULU Wengine Wamepata VIBALI VYA TV na RADIO kwa MSAADA na NGUVU ZA CCM

CLOUDS, CHANNEL 10, Diallo TV... Hii ya kugomea haita shinda - LABDA uwe na Mamilioni ya Dola za kuwalipa hawa

waandishi... CCM Inazo...

Mbona yule alikuwa waziri wa mambo ya ndani walimgomea?
 
hivi wanaotetea waandishi kugomea polisi wanaweza kutaja faida mtanzania wa kawaida atakazopata kutokana na mgomo huo?
Waandishi wangefikiria njia mbadala zenye manufaa na zisizo na athari kwa raia.

Watapata taarifa za uhakika juu ya kifo cha Mwangosi kwani hilo ndo lengo la huo mgomo. Kwangu mimi hilo ni muhimu zaidi kuliko kuendelea kupata habari zingine kutoka kwa polisi. Hilo kwanza halafu mengine ndo yafuate.
 
Kwenye kila harakati zenye mafanikio lazima kutakuwa na wasaliti.
Huyo mjengwa ni mmoja kati ya wasaliti.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Maggid Bora ungenyamaza kimya ingekuwa salama kwako. Lakini kwa hili sidhani kama wenzako watakuelewa. Ni kama umeamua kubeba pira la mavi. Hata hivyo wewe binafsi unaruhusiwa kuwa na mtazamo wako binafsi. Hili la Mwangosi la kuuliwa na polisi liko wazi kabisa kila mtu kashuhudia si CHADEMA si C.C.M ambao hao Polisi ni mali yao.
 
pole kwa kuikosa dislike...:A S thumbs_down:.... , unaitafuta tu kwenye hivyo vikatuni hapo kulia..ila wangeweka ya moja kwa moja hapa ingekuwa safi maana watu km hawa ni aibu!
ma mods inabid waweke na sehemu ya ku dislike... maana msimamo wa vibaraka kama hawa unaboa aiseee
 
Wise decision.
Kugomea kuandika habari za polisi ni sawa na kuweka kinyesi sebuleni kwako kwa sababu ya ugomvi wako na bwana afya!
Nakubaliana na wewe 100 kwa 100 kwani kugoma kuandika habari za polisi ni sawa na kuwa-reward badala ya kuwa-punish.Ikumbukwe kuwa taarifa zitolewazo na polisi kwa vyombo vya habari huwa sio kwa manufaa ya polisi wenyewe bali ni kwa manufaa ya umma.
 
NINA KAULI MBILI TUUUU

1.Tanzania bila SISI M inawezekana!

2. SISI M si baba yangu wala mama yangu!
 
Mjengwa unachefua kaka usitumie kifo cha Mwangosi kama kafara ili upande ngazi au ukalie viti vya majukwaani na wakubwa. Acha njaa, weka ubinafsi pembeni jishughulishe na kuwa mbunifu kwani habari zipo za polisi tu ?
 
Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii, ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Kaka Mjengwa, nakushauri ukakae na wanahabari walitoa uamzi unaoupinga ili wakuelimishe kwanini walifikia uamzi huo.
 
Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii, ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

You have failed by going against the declaration of fellow writers. Police have always fabricated stories for the purpose best kown to themself. If you think I am interested in criminal acts of police I am not. This is my last reading of your contribution at JF. You succumbed to vanity and state brutality carried out by police.
 
Watapata taarifa za uhakika juu ya kifo cha Mwangosi kwani hilo ndo lengo la huo mgomo. Kwangu mimi hilo ni muhimu zaidi kuliko kuendelea kupata habari zingine kutoka kwa polisi. Hilo kwanza halafu mengine ndo yafuate.

Wakati wako kwenye mgomo hawafikirii kuwa wananchi tunaweza kukosa habari muhimu tena zinazo husu usalama wetu jambo ambalolinaweza kupelekea madhara zaidi?
Polisi hawawezi kutumia huo mwanya kufanya madudu zaidi kwakuwa hakuna wa kuwafichua?
Watakapokuja kumaliza mgomo raia wangapi watakuwa wameathirika au ni maovu mangapi yatakuwa yamefanya na polisi na haukuna aliyeyaripoti?
 
Tujikumbusha yule waziri wa mambo ya ndani miaka ile aliyesusiwa habari zakena wizara yake. Ilisaidia kuonyesha hasira dhidi ya dharau zake kwa waandishi. Akakimbiziwa China kuwa balozi.
 
Jamaa anaweza kudhani hii ni dalili ya mtu mwenye msimamo na asiyeyumbishwa kumbe ni kinyume kabis.
Kuna mazingira lazima uwe upande wa wanaoonewa na kugandamizwa.
Inashangaza, mhabarishaji wetu ,mara kadhaa, amepata kudai eti hana upande anaoegemea ,yupo katikati(impartial /neutral!).Vinginevyo atueleze iwapo wananchi wote wana mtazamo na itikadi inayofanana.
Hata sisi wasomaji hutupo neutral,tunaongozwa na itikadi na falsafa katika kutasfiri masuala.Mwandishi yeyote yule anayechagua kuwa neutral aelewa kuwa amechagua kuwa upande wa mkandamizaji.
 
Back
Top Bottom