Mjengwa blog na usanii wa kura kwa vijana wenye mvuto kisiasa

Martin Jr

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
582
183
Nimetazama mwenendo mzima wa kura zinavyoendelea kwenye blog hii na kuona leo asubuhi jinsi ambavyo blog hii inavyojaribu kumpigia kampeni dewji na january makamba kwa namna ambayo mtu makini ataona hiyo sanaa mbaya lakini tujiulize ni mtu mwenye mvuto kwa aina gani ya classna pia ni watanzania wangapi wanaweza kupiga kura kwa mtandao wa komputya huu ni usanii na usipoangaliwa vizuri utakuwa ni mkakati wa mbunge mmoja kijana anayetaka madaraka makubwa ya chama chake kwa kutumia magamba
 
sikuwa najua mjengwa ni kimeo ila nimelitambua hili pale aliposema Zitto,Mnyika na Dewji wanaongoza.
naona njaa imeanza kumnyemelea majid analilia kupewa mkonao na Dewji
 
kwa hiyo mwataka kunambia mjengwa hizo kura anazipiga mwenyewe!..? Lol hebu fikirini kwanza
 
Nimetazama mwenendo mzima wa kura zinavyoendelea kwenye blog hii na kuona leo asubuhi jinsi ambavyo blog hii inavyojaribu kumpigia kampeni dewji na january makamba kwa namna ambayo mtu makini ataona hiyo sanaa mbaya lakini tujiulize ni mtu mwenye mvuto kwa aina gani ya classna pia ni watanznia wangapi wanaweza kupiga kura kwa mtandao wa komputya huu ni usanii na usipoangaliwa vizuri utakuwa ni mkakati wa mbunge mmoja kijana anayetaka madaraka makubwa ya chama chake kwa kutumia magamba

ni upuuzi kumjadili huyu bwana!!!!!
 
January Makamba
22 (3%)




David Kafulila
5 (0%)



Deo Filikunjombe
4 (0%)



Zitto Kabwe
231 (33%)




Felix Mkosamali
1 (0%)



Highness Kiwia
2 (0%)



Mohammed Dewji
23 (3%)




Godbless Lema
122 (17%)




David Silinde
3 (0%)



John Mnyika
236 (33%)




Peter Serukamba
1 (0%)



Moses Machali
2 (0%)



Livingstone Lusinde
1 (0%)



Vicent Nyerere
1 (0%)



Mwigulu Nchemba
3 (0%)



Ezekiel Wenje
3 (0%)



Hamis Kingwangwalah

4 (0%)



Joseph Sugu Mbilinyi

30 (4%)




Steven Masele
3 (0%)




sijaona hapa kama Dewji anaenda sawa na akina mnyika na zitto , na kama ingekuwa hivyo bai ningeamini hizi kura humu mjengwa zinapigwa na mjengwa pekee ila kiukweli hawa vijana wa CHADEMA wanatisha kiutendaji thats why unaona wako mbele kuliko wenzao wote.
 
Nyie mnalaamika tu, hlf hampigi kura, Kwani hamkumbuki namna gani Mpoki alivyoshinda Kill Music award? alipigiwa promo na Masanja kwenye kipindi chao vijana wakaitikia wito Mrisho Mpoto aliachwa mbali sana na yule jamaa japokuwa kiuhalisia huyu jamaa hakufaa japo kidogo hata kumshindanisha na Mpoto.

Dewj mwenyewe anaweza kuamua akawa anaingia kila cafe anaacha mpunga vijana wanampigia kura wewe unadhani hilo halipo? Mjengwa hana kosa labda tunaweza kumlaumu ni kwa nini alimuweka huyu jamaa ilhali anajua vigezo vya ushindani hana hata kimoja?
 
Mjegwa mwenyewe nimeanza kumtilia shaka ..kuna thread kaianzisha juzi ya kujitetea anasema kuna kijana wake yupo Dar huwa ndio ana update mambo kwenye blog yake.Kwa mwendo huu mbivu na mbichi soon zitajulikana
 
January Makamba 22 (3%)



David Kafulila 5 (0%)


Deo Filikunjombe 4 (0%)


Zitto Kabwe 231 (33%)



Felix Mkosamali 1 (0%)


Highness Kiwia 2 (0%)


Mohammed Dewji 23 (3%)



Godbless Lema 122 (17%)



David Silinde 3 (0%)


John Mnyika 236 (33%)



Peter Serukamba 1 (0%)


Moses Machali 2 (0%)


Livingstone Lusinde 1 (0%)


Vicent Nyerere 1 (0%)


Mwigulu Nchemba 3 (0%)


Ezekiel Wenje 3 (0%)


Hamis Kingwangwalah
4 (0%)


Joseph Sugu Mbilinyi
30 (4%)



Steven Masele 3 (0%)



sijaona hapa kama Dewji anaenda sawa na akina mnyika na zitto , na kama ingekuwa hivyo bai ningeamini hizi kura humu mjengwa zinapigwa na mjengwa pekee ila kiukweli hawa vijana wa CHADEMA wanatisha kiutendaji thats why unaona wako mbele kuliko wenzao wote.

Nyie mnalaamika tu, hlf hampigi kura
Nawapongeza kwa kupoteza muda wenu
 
...bravo Mjengwa. Usikatishwe tamaa na wanaopenda kulalamikia kazi za wenzao,hao hawakosekani. Ila washauri na wao waanzishe pima-joto kwenye blogs zao (kama wanazo na km wanaweza). Waambie si lazima washiriki wao,sisi tulioshiriki kwa kupiga kura tunasubiria matokeo ya kura zetu. Keep on keeping!!
 
Back
Top Bottom