Mjengwa atishia kujidhuru sababu ya JF

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa ameopa kweli mbona amekaa kiubwete ubwete na kinahii kinahii sana...

Soma post #49 ya Babukijana....amenivunja mbavu kweli.

Yaani wakati watu wengine wanaangalia picha kwa kupita tu, kuna watu mnatafuta hata microscope kuona kila details....Kazi kweli kweli...
 
Majidd acha kutafuta umaarufu usiokuwepo,wewe ni mmoja kati ya wale vibaraka wapya wa mafisadi jitahidi unaweza hama ipogoro ukaenda wilolesi kwa kuendekeza tamaa.Unatia aibu jamii ya WANYALU mwanamme usibadilikebadilike dada zako hatutakuelewa.
 
Enzi zao nilipenda kusoma makala za mjengwa na prince bagenda, I wonder what went wrong with them!
 
Majidd acha kutafuta umaarufu usiokuwepo,wewe ni mmoja kati ya wale vibaraka wapya wa mafisadi jitahidi unaweza hama ipogoro ukaenda wilolesi kwa kuendekeza tamaa.Unatia aibu jamii ya WANYALU mwanamme usibadilikebadilike dada zako hatutakuelewa.

sijawahi kumfatilia huyu jamaa ni nani ..leo mmenifumbua macho naombni Blog ngoja nipitie blog yake nipate mawili matatu
 
Huu ulimwengu wa Demokrasia ni hatari sana. Hasa pale inapokuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu, at least kwa Tanzania. Kila mtu anajiandikia jambo lake!! Wengine wakiwa na lengo la kisiasa zaidi, wengine wakielimisha jamii, wengine ........., wengine.......Sijui tutafikia wapi. Cha msingi tuendelee kudumisha ile amani ambayo hata jeshi limetishia wananchi wake kwa kisingizio kuwa eti kuna vyama ambavyo vinatishia amani, na kufiki hatua ya kusambaza jumbe chafu, kisa kuna simba wa yuda anayeogopwa kama ukoma au mwiba wa nungunungu!! Tukubali siasa ni malumbano yenye tija, ni kukosoana kwa tija, ni kujibizana hoja kwa tija, n.k. Kwa nini vitisho!!??
 
usijiue majid,
we ni Mtanzania mwenzetu mwenye mapenzi mema na nchi yako. kupishana kimawazo ni kawaida sana. kama vipi usitume post zako hapa jf.sababu tutakaposizoma na kuona unatupeleka kusiko, hatuwezi kukuacha . lakini ni mambo ya muda mfupi tu. hapa tunabishana na vivul. Ombi langu kwako hilo wazo liondoe kabisa kichwani pako na usilipe nafasi.

tunakupenda magid lakini hatupendi hoja zako za kusifia utawala ambao kwa miaka 50 ya uhuru wetu lkn bado hari zetu ni mbaya kulinganishw na wengine . sasa anapotokea mtu na kuanza kuusifu utawala wa jinsi hii. tunamwangalia kwa jicho la tatu

usijiue magid
 
Mwanahabari gwiji kwa njia ya blog Tanzani Mr Maggid Mjengwa amewatolea uvivu wanachadema waliojazana JF kwa tabia yao ya kushambulia kwa ushabiki na kejeli bila kufikiri wala kujadili mambo kwa hoja na logic...............BIG UP MJENGWA
 
Anataka kucheka sina mbavu yoh....................!!!!
 
Mwanahabari gwiji kwa njia ya blog Tanzani Mr Maggid Mjengwa amewatolea uvivu wanachadema waliojazana JF kwa tabia yao ya kushambulia kwa ushabiki na kejeli bila kufikiri wala kujadili mambo kwa hoja na logic...............BIG UP MJENGWA

Craven!
 
Si na yeye ni mwana Jamii Forums,
kwa nini anaenda kuongelea pembeni?
Mod hebu mpigeni ban mtu huyu MAGGID MJENGWA
mwanahabari gwiji kwa njia ya blog tanzani mr maggid mjengwa amewatolea uvivu wanachadema waliojazana jf kwa tabia yao ya kushambulia kwa ushabiki na kejeli bila kufikiri wala kujadili mambo kwa hoja na logic...............big up mjengwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom