Mjengwa atishia kujidhuru sababu ya JF

Status
Not open for further replies.
Nadhani Mjengwa ameshikwa pale panapouma zaidi na ndio maana anahamaki. Busara ya mtu huonekana pale anapobanwa zaidi.
 
Mjengwa, mimi nnakuaminia wewe ni chuma cha pua, huna sababu ya kulia lia kwa kusakamwa humu JF. Unavyosakamwa humu ndio uthibitisho wa power of your writings, yaani maandishi yako ni makali na yanakata na kuchoma kama ncha ya upanga wa makali kuwili.

Hizo critic ndizo tupa zinazozidi kunoa ncha ya mkuki wako kufikia kiwango ukiandika tuu, zitachoma mpaka mioyoni mwa nyoyo za watu

Inawezekana pia ukawa unaandika pumba na watu makini wakakusakama kama inavyotokea kwa Mjengwa.
 
Kama anakwazwa na jf, basi asipost wa kusoma... Matatizo mengine ni ya kujitakia... Btw, siamini mtu unaweza kujiuza kwa tofauti za kiitikadi
Kuna watu wanazisaka presha wenyewe. Huyu mwenzetu huwa anaanzisha threads kisha huyooooo anakimbilia kijijini anatuacha jukwaani tukiwa na maswali kuliko majibu.

Simshauri ajinyonge, bali aachane na JF kama inamkwaza ki vile
 
Mno. hawezi kuwa na akili timamu akaongea vitu vya namna hiyo.
Hivi ameshakaa na kujiuliza kwanini watu wengi wanatofautiana na yeye kifikra?:confused2:
labda ingemsaidia kama angekaa chini kidogo na kutafakari hili.
lazima atakuwa na tatizo :mad2:

ana familia kweli huyu?
 
Maggid,wala hakuna haja ya kujiua,kumbuka wewe unawahudumia watu,tena maskini sana (wa kutupwa...) chini ya wafadhili... Nakukubali kwa kutupa taswira za vijijini ila MAJUZI umeanza kwenda HARIJOJO unawakumbatia mafisadi ambao wameuza rasilimali nyingi za nchi yetu hapo ndio ulipotunyesha rangi halisi ya kwako... Kaka jirudi... Tafadhali sana...
 
Of all the People sikutegemea Maggid aandike alichoandika kule kwenye blogu yake....

Nina wasi wasi kuna kitu anataka kuprove kama sio kutaka sympathy ya wasomaji wake

Bottom line ni kwamba hapa ukileta hoja watu wataijadili kwa mapana na marefu...sio kama gazeti ambapo unaweza kuandika then usitegemee response

And who said kwamba yeye hawezi kukosea kihoja, au hata kama yupo sahihi lakini kuna wengine pia wana hoja tofauti nazo ni sahihi

Sasa katika hilo ni kukubaliana katika kutokukubaliana....ukianza kutishia kujinyonga, unaonyesha woga wa wazi wazi wa kupambana na hoja.

Huyu Maggid ndo yule yule wa RAI ya kina Jenerali au siku hizi kabadilika?
 
Inawezekana pia ukawa unaandika pumba na watu makini wakakusakama kama inavyotokea kwa Mjengwa.
Kipimo cha nini ni pumba na nini ni mchele ni relative according to poit of view, huo wewe unaouona ni mchele kwa mwingine ni pumba, sawasawa na pumba unazoziona wewe kwa mwenzio ni mchele kama ilivyo kwa "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno".

Kwa waliosoma riwaya ya "an enemy of the people" watanielewa, kama ulichokiandika ndicho unachokiamini, basi utasisimama nacho imara hata ikibaki pekeyako " the strongest man in the world is he who stands alone!" hivyo nami ni mmoja wa wale ambao huandika kile ninachokiamini kwa dhamira yangu, hata kama nitatofautiana na watu ila pia huwa silalamikii kupigwa madongo!.
 
mjengwa anasubuliwa na elimu ndogo hata akijiua ni mke wake tu atasikitika lakini ni faraja kwa wana mageuzi
 
Of all the People sikutegemea Maggid aandike alichoandika kule kwenye blogu yake....

Nina wasi wasi kuna kitu anataka kuprove kama sio kutaka sympathy ya wasomaji wake

Bottom line ni kwamba hapa ukileta hoja watu wataijadili kwa mapana na marefu...sio kama gazeti ambapo unaweza kuandika then usitegemee response

And who said kwamba yeye hawezi kukosea kihoja, au hata kamayupo sahihi lakini kuna wengine pia wana hoja tofauti nazo ni sahihi

Sasa katika hilo ni kukubaliana katika kutokukubaliana....ukianza kutishia kujinyonga, unaonyesha woga wa wazi wazi wa kupambana na hoja.

Huyu Maggid ndo yule yule wa RAI ya kina Jenerali au siku hizi kabadilika?

Uko sahihi kabisa...
si sio lazima kila mtu akubaliane na sera za mtu fulani?
kama zina mapungufu si its up to watu wenyewe kuamua wachukue kipi na kuacha kipi...?
Sasa kwanini atake watu wakubaliane na mawazo yake all the time?
I have been silently reading his posts and ukweli sijashangaa alipoandika hicho alichoandika hapo juu,
He cant get the attention he wants that way.
Such a poor strategy
 
Sishangai kwani ni kawaida ya wahehe kujitundika kaaaaaba!!! siku zako zinahesabika mkuu.
 
Huyu inabidi siku moja watu wampe noma kabisa kama mahimbo ,hapo ndio atajua msimamo wa wananchi ni upi. Halafu wasomaji wa blog yake ndio walewale member wa JF kama hajui.au amuulize michuzi.
 
Haonekani kama ni family type....:thinking:
atakuwa anaishi na hawara ila kwa style yake sijui nani atakaubali kuishi nae unajua unavyoishi njke ndivyo ndani huko hivyohivyo pole mjengwa weeeyeeeee kamba ntakutumia nipe adress yako....EMS WANAFIKA HUKO
 
mpotezeeni jamani binafsi nimeanza kumsamehe kidogo kidogo sijui wenzangu...tutafute ufalme wa mbinguni kwanza ..ungekuwa wa mafisadi pekee ningemalizana nae lakini kwa iman upo ufalme mwingine usionekana embu tuanze sasa kumsamehe polepole eeh wewe nakwambia
 
Of all the People sikutegemea Maggid aandike alichoandika kule kwenye blogu yake....

Nina wasi wasi kuna kitu anataka kuprove kama sio kutaka sympathy ya wasomaji wake

Bottom line ni kwamba hapa ukileta hoja watu wataijadili kwa mapana na marefu...sio kama gazeti ambapo unaweza kuandika then usitegemee response

And who said kwamba yeye hawezi kukosea kihoja, au hata kama yupo sahihi lakini kuna wengine pia wana hoja tofauti nazo ni sahihi

Sasa katika hilo ni kukubaliana katika kutokukubaliana....ukianza kutishia kujinyonga, unaonyesha woga wa wazi wazi wa kupambana na hoja.

Huyu Maggid ndo yule yule wa RAI ya kina Jenerali au siku hizi kabadilika?

Kijani
 
Kwa upande fulani lazima nisema kuwa Mjengwa anaandika mambo mengine mazito sana ila tatizo anaweka mengine mengi yenye utani mkubwa sana. Kuna baadhi wameelewa na wengine bado hawajaelewa.

Hamuwezi amini kuwa katika jumbe zake hizi mbili, kuna kitu alikiandika na nimeona kweli kabisa kuwa Dr. Slaa kakifanyia kazi na harudii makosa hayo. Kosa hilo ni lile alilifanya Kyela kwa kumpa MWAKYEMBE ushindi wa moja kwa moja.
Kila mtu anafahamu kuwa Mwakyembe atashinda Kyela na wameahidi kuwa watamchagua yeye kama Rais. Ila je, CCM maadamu watakuwa wamebaki peke yao, hawatachakachua Matokeo? Si watakuwa peke yao vituoni?
Alipofika Kigoma kama mlisoma na kuona, hakumpa Kafulila ushindi wa moja kwa moja. Kampa kijana moyo kuwa agombee hata mara 10 asikate tamaa. Matokeo yake ni kuwa kijana atasaidia kulinda kura za dr. Slaa huko jimboni kwake. Kyela sasa hivi kijana kasharudi kabisa Mbeya na kampeni kwishieni. Hakuna tena mtu wa kusema Dr. SLAA.

Hili alilisema MJENGWA kwenye makala zake ila nafikiri wachache tu waliliona. Mtakuwa mnafanya MAKOSA kumsoma Maggid kwa juu juu tu bila kuelewa nini hasa anaeleza. Anaweza kuwa anaandika kwa undani zaidi kiasi kwamba gret Sinkers wakawa hawaoni ndani. Wanaona tu kile wanataka wao kuona na si kile yeye anataka watu waone. Tatizo wataona wachache sana na wengine kubaki wanatukana.

Mjengwa, endelea na makala zako kwani ujumbe wako unafika vizuri tu na Chadema / Slaa wataufanyia kazi. Wengi wataona kuwa UNASHAMBULIA ila wengine wataona kwa ndani na kuelewa nini unataka kuwaambia WAJIREKEBISHE. Keep it real mtani wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom