Mjasiriamali ni nani hasa?

Kitumbo

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
549
185
Wana JF hebu mnisaidie hapa, naona mara nyingi vyombo vya habari vinawataja wafanyabiashara wote kuwa ni wajasiri amali hata wale machinga wanaopanga bidhaa zao barabarani.

Hivi ni kweli kuwa mjasiri amali ni mtu yeyote anayefanya biashara hata kama ni umachinga wa kufukuzana na mgambo wa jiji?
 
Ni kwamba mjasirimali ni neno pana sana na tukianza kuelezea historia yake itachukua siku hapa, kwa kifupi Mjasirimali ni yule anaye anzisha kitu kipya, ni mvumbuzi, ni yule anaye take risk, ni owner of other factor of production kama aridh, wafanyakazi na kazalika,

Tofauti kati ya mfanya biashara na mjasirimali,
- Wajasiriamali wote ni wafanyabiashara but si wafanya biashara wote ni wajasirimali
- So kwa hapa Tanzania wali uno waona si wajasirimali bali ni wafanya biashara make hawana hata sifa moja ya kuitwa wajasirimali sema huku bongo wanasiasa wanachanganya sana wanawaita wafanyabiashara kwamba ni wajasirimali,
 
Hapo kwenye red kuna kitu hakijakaa vizuri.
Kuna wajasiriamali ambao wameajiriwa- Corporate entrepreneurs
Na kuna wajasiriamali wa shughuli za kijamii - Social entrepreneurs.
Hawa wote si wafanyabiashara kama hiyo red inavyoelezea
 
Ni kwamba mjasirimali ni neno pana sana na tukianza kuelezea historia yake itachukua siku hapa, kwa kifupi Mjasirimali ni yule anaye anzisha kitu kipya, ni mvumbuzi, ni yule anaye take risk, ni owner of other factor of production kama aridh, wafanyakazi na kazalika,

Tofauti kati ya mfanya biashara na mjasirimali,
- Wajasiriamali wote ni wafanyabiashara but si wafanya biashara wote ni wajasirimali
- So kwa hapa Tanzania wali uno waona si wajasirimali bali ni wafanya biashara make hawana hata sifa moja ya kuitwa wajasirimali sema huku bongo wanasiasa wanachanganya sana wanawaita wafanyabiashara kwamba ni wajasirimali,

Kwa maoni haya mdau, sasa nathibitisha wasiwasi niliokuwa nao kuwa vyombo vya habari vinapotosha kuwaita wamachinga (hasa wale wanaofukuzana na POLISI au wanaopanga bidhaa zao barabarani) kuwa ni wajasilriamali.
 
MJASILIAMALI3.JPG
Mwananchi+mjasiriamali+kama+huyu+ana+safari+ndefu+katika+kumiliki+uchumi.JPG
 
Norbert, katika content yako fafanua vizuri. Humu ndani kuna wajasiriamali wazuri wanaweza kukupa mawazo, unataka kufahamu kuhusu mtaji? masoko? biashara ya kufanya? we una mawazo gani? n.k. Usipobadili hapo watakuja hapa watu wasio na busara watakutukana sana na hutapata msaada wowote
 
kitu cha kwanza kujiuliza ni unahobbie gani???
maaana ujasiriamali ni mentality na sio ujuzi, maana ujuzi unajifunza tuu popote pale hata kama hujaenda shule,
so ukirudi pale mwanzo juu, ni kuwa ni ipi hobbie yako unayoweza kuitumia kupata kipato??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom