Najaribu kui picture scenario ambapo mke anafariki halafu mume bila kukawia anamuoa shoga-besti wa marehemu... lazima kina mama waje juu!
Mbona hizo ziko common sana, na wakati mwingine Mzee anaweza akawa anam-mega best wa mkewe huku akiwa hai.
Kwa shoga ni mbali, wako ambao huamua kuchukua kabisa mdogo wa marehemu ili atunze watoto wa marehemu dada yake. Je, hapo inakuwaje?