Mjane wa Daudi Mwangosi akanusha vikali habari za Dr Slaa kutelekeza ahadi yake kwa familia hiyo

At least hilo la hao watoto wasiza (whatever this means..itake it watoto wa Wassira) lina ukweli
Binafsi naona heri hata lile gazeti lililoandika "Watoto wa Wassira wajiunga na CHADEMA" kwani kulikuwa na ukweli kwa kiasi kikubwa kwani watoto wale ni wa kaka yake Wassira na kiafrika watoto wa kaka yako na hata mdogo wako ni wako! Lakini hili la kuikejeli familia ya Marehemu Mwangosi aliyeuwawa na serikali dhalimu ya CCM kwa kutumia gazeti lao ni hatari na linaumiza mno. Waandishi mko wapi mlishikie Bango gazeti hili ili nalo "Lifungiwe"
 
Somebody anasema uongo hapa, Kwakuwa suaa hili linakuna Maslahi ya mtu pamoja na reputation ya CDM, lazima lishughulikiwe kisheria. Mh Mabere,Mh Lissu na Prof Safari please take this issue to the next level.
 
NILIKUWA SIJUI
kumbe CHADEMA ni chama cha babamkwe wake mbowe
ambae ni mzee MTEI...........DAAAH SIJUI TUNAKWENDA WAPI kama mtu na babamkwe wake wanamiliki chama,hahhahahahahahaaha CHEZEA MCHAGA WEWE

Mwenyekiti NEC - JK
Wajumbe - Salma K, Ridhiwan K, .......... and the list continues.
 
Wamemuua mume wake halafu wanaleta ujingajinga huu. Kwa sababu wanajua watanzania ni mazezeta, na wanasahau haraka.
 
NILIKUWA SIJUI
kumbe CHADEMA ni chama cha babamkwe wake mbowe
ambae ni mzee MTEI...........DAAAH SIJUI TUNAKWENDA WAPI kama mtu na babamkwe wake wanamiliki chama,hahhahahahahahaaha CHEZEA MCHAGA WEWE



Hii tabia ya ku "hahahahahaha" kila mara sio dalili nzuri hata kidogo.
1. Kukosa point yenye uhakika
2. Ku-influence audience icheke nawe
3. Kama author ni wakiume, wasiwasi mkubwa weza kuwa mfuasi wa kina Cameron.


Wewe ni mtu mzima, onesha hoja, bisha kwa hoja utuachie watazamaji tupime.

NB: sio lazima u-reply posts za watu, unajaza tu threads.


Back To Topic: Ni kawaida sana kwa mfanyakazi aliezaliwa Mtwara kwenda kuoa Mwanza (eneo lake jipya la ajira). Hii hutokana na kukutana na mwenzi at the right time.
CDM ilianzishwa kama 20Years ago, na kati ya waannzilishi au wanachama wa Mwanzo mwanzo ni Mtei na Mbowe, lazima ilileta ukaribu sana mpaka wa kutembeleana majumbani. Mwenyekiti akaona Ua zuri akajitwalia.

Na Mwanzilishi sio Mmiliki.
 
wanasheria mko wapi? nahis hamfanyi kazi mliyosomea. kuna defamation zaid ya hii? Kwa nini mjane wa marehem asifungue kesi dhidi ya gazeti alipwe mabilioni? amezalilishwa kuwa analilia heala za msiba, ni udhalilishaji uliopindukia
 
hivi hawa wana manamagazeti wanaelewa maana ya
Code:
[SIZE=4][I]"maadiLi ya kazi na tathnia ya habari au nao wamegeuka kuwa makatibu wenezi wa ccm kama JT'?[/I][/SIZE]
 
Nani Mmiliki wa "kijarida" hiki? Siyo Kigogo wa MAGAMBA? Sasa tulitegemea waisifu CDM?
 
Leo gazeti limeuza sana kisa hii habari..........Waandishi wetu uchwara sana kama ile ya "watoto wa wasiza wajiunga chadema"

Duh, ama kweli hili nalo neno: WASIRA kageuka WASIZA. Mods msinipige BAN kwani kila niporekebisha pale wanapokosea naeleweka vibaya, au sielewi mpangilio wa Herufi katika simu au komputa.
 
Habari hii nimeichukua ktk facebook wall ya mchungaji Peter Msigwa na nimecopy na kupaste.

Mjane wa Mwangosi amekanusha vikali habari zilizochapishwa na gazeti la habari Leo kuwa eti yeye alilia rambirambi za Slaa. Akiongea alipokuwa nyumbani kwangu kwa uchungu amesikitishwa sana kuwa habari hizo hazina ukweli wowote na Kama angekuwa na Shida na Dr Slaa angenitafuta Mimi.

Kwanza ni jirani yake na pili anajua ukaribu wangu na Dr. Anasema kitendo hicho kimeamsha Msiba kwani kina lengo la kutaka Jamii imdharau. Anaomba watanzania kuupuza habari hizo na ameshangaa ni maadili gani haya ya uwandishi. Naomaba kuwasilisha

Haya ni maelezo niliyochukua kutoka ktk uzi aliouanzisha msemaji wa Chadema Molemo + picha









My take;
Kama gazeti la habari leo linaweza kupotosha umma namna hii kwa kutumia kodi zetu, basi kazi tunayo kama nchi.
Ahaa tayari mmekwenda kumpatia rambirambi yake na kumwelezea akanushe hizo habari.Ongereni kwa kumsafisha babu yenu maana alishachafuka.Mmefanya la maana sana kutoa hiyo rambirambi.
 
Haya mambo yana ukweli hata mjane wa magadula shelembi kule shy naye kapigwa changa la macho kuwa watamalizia ujenzi wa nyumba bt sasa limekuwa guest bubu, cdm ijiangalie.
 
Ahaa tayari mmekwenda kumpatia rambirambi yake na kumwelezea akanushe hizo habari.Ongereni kwa kumsafisha babu yenu maana alishachafuka.Mmefanya la maana sana kutoa hiyo rambirambi.
Kweli umerogwa kama jina lako linavyoonesha!
 
Mbunge msigwa baada ya habari ya ukweli kuhusu ahadi ya slaa amefuatwa na kulambishwa sukari halafu palepale anatakiwa azikanushe hizo habari kwani walijua zinamchafua kwa kiasi kikubwa dk slaa sasa jiulize kama kweli amekanusha bila shinikizo lolote toka chadema ni kwa nini azikanushe akiwa na mbunge wa chadema mh.msigwa?ama kweli mama mwangosi umekuwa kama mpira wa kona kila mwanasiasa anayetafuta umaarufu anakuja kwako kupata ujiko wa kisiasa.


Bhangi zingine bwana mngekuwa mnakaa kimya tu bila kunandika ujinga kama huu
 
Gazeti la serikali linaongea uwongo, viongozi wa serikali wana ongea uwongo, makamanda wa polisi wana ongea uwongo, wabunge wa magamba wengi wanaongea uwongo,

Msajili wa vyama vya siasa nae anaongea uwongo (lema hatakiwi arumeru)waziri mkuu anaongea uwongo (utetezi wa lema unakaliwa) raisi anaongea uwongo (ahadi kibwena kipindi cha uchaguzi), watoto 5200 wanadangaya majibu wanafaulu (uwongo) wakifika sekondari hawajui kusoma na kuandika! Tume ya uchaguzi inaweka vituo hewa vya uwongo, Taifa la uwongo na magumashi!

Poor my country! Who has been witched you?!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

What do you expect with the corrupt CCM in power? That is a bug, is destroying our nation!!
 
habari leo=toilet paper. Eti ndio gazeti la taifa. Yaani watz wote tunaonekana machiz kwa sababu ya habari leo.
 
Kweli umerogwa kama jina lako linavyoonesha!
Nakubali ila wewe unarogeka kirahisi kwani unatetea mambo yenye ukweli.Tulipenda zaidi Babu yenu ndiyo akanushe habari hizi na siyo mbunge, kamwendea huyo mama na kutoa kitu kidogo ili kuweka mambo sawa.Mjiangalie kutoa ahadi kwenye misiba.Ahadi ni deni bana acheni kudanganya.
 
Nakubali ila wewe unarogeka kirahisi kwani unatetea mambo yenye ukweli.Tulipenda zaidi Babu yenu ndiyo akanushe habari hizi na siyo mbunge, kamwendea huyo mama na kutoa kitu kidogo ili kuweka mambo sawa.Mjiangalie kutoa ahadi kwenye misiba.Ahadi ni deni bana acheni kudanganya.
Nikikuita wewe mpumbavu utasema nimekutukana? Sasa ulitaka nitetee mambo yenye uongo? Tatizo ninyi watoto mliohitimu shule za kata huwa mnashinda kutwa hapa JF mkiitetea CCM bila hata kujua kuwa elimu duni mliyonayo chanzo chake ni sera za elimu za hovyo za CCM hiyohiyo! amkeni na kataeni kutumiwa kama kondomu,eboo!!
 
Back
Top Bottom