Watani hawataki mchezo ni uzushi tuuu kwenda mbele!!
Kiwanda cha uongo.Nayashangaa sana magazeti ya namna hii, waandishi wa habar wengine wanaonekana hawana maadili kbs mna aibisha nchi yetu na taifa kwa ujumla pole sana mama.
Nayashangaa sana magazeti ya namna hii, waandishi wa habar wengine wanaonekana hawana maadili kbs mna aibisha nchi yetu na taifa kwa ujumla pole sana mama.
Mkuu, nimecopy na kupaste ili great thinkers waangalie pande zote mbili za shilingi, bado najipendekeza kwa Chadema? Nashukuru pia kwa matusi yako.
[/QU
My take;
Kama gazeti la habari leo linaweza kupotosha umma namna hii kwa kutumia kodi zetu, basi kazi tunayo kama nchi.
Ama kweli ukistaajabu ya mussa utaona....gazeti kubwa na makini kama habari leo linaonekana kutaka kufukia madhambi ya serikali kwa mgongo wa CDM
Aweda in action!!!we acha kujipendekeza!!!!
A typical case ya akili ndogo kujaribu kushawishi akili kubwa!! lol. shame be upon you.
Mkuu, nimecopy na kupaste ili great thinkers waangalie pande zote mbili za shilingi, bado najipendekeza kwa Chadema? Nashukuru pia kwa matusi yako.