Mjane wa Daudi Mwangosi akanusha vikali habari za Dr Slaa kutelekeza ahadi yake kwa familia hiyo

Yaani! Kweli nilikuwa sielewi kuwa Mama wa KINYAKYUSA alalame kuwa hajapewa rambirambi! Jamani Dada zetu hawako hivyo. Habari leo wamepata aibu ya mwaka. Inabidi waombe radhi kwa hili. Nyambafu zao!
 
Gazeti la serikali linaongea uwongo, viongozi wa serikali wana ongea uwongo, makamanda wa polisi wana ongea uwongo, wabunge wa magamba wengi wanaongea uwongo,

Msajili wa vyama vya siasa nae anaongea uwongo (lema hatakiwi arumeru)waziri mkuu anaongea uwongo (utetezi wa lema unakaliwa) raisi anaongea uwongo (ahadi kibwena kipindi cha uchaguzi), watoto 5200 wanadangaya majibu wanafaulu (uwongo) wakifika sekondari hawajui kusoma na kuandika! Tume ya uchaguzi inaweka vituo hewa vya uwongo, Taifa la uwongo na magumashi!

Poor my country! Who has been witched you?!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
CCM ingependa kufungia magazeti yoote na kubakisha hivi vikitu kama Habari leo,Jambo leo,Uhuru and co. Na sipati picha kibonde kingesemaje leo kwenye kipindi chake redio "kiwingu" (Hivi kipo kile kipindi bado-jahazi?)
 
CCm wanapata sana hasara hilo gazeti linaloitwa habari leo nadhani yananunuliwa kwenye maofisi ya ccm tu huko na serikali yao. watu wazinma hata kutunga uongo hawajui
 
Kumbe kina zomba wanaomtetea Kikwete wanajipendekza kwake!!?? nilikuwa sijajuwa.

Matola ndugu yangu, unapoteza muda wako kwa watu sampuli hii! Wapo hapa kujaribu kuzuia mijadala ya maana (chakula chao kimechacha sasa solution yao ni kuongeza sauti ya redio ili wasisikie kuchacha kwa chakula)!
 
Last edited by a moderator:
mama hao ni makasuku na walamba miguu ya ccm na vibaraka wao, kamwe hawata shinda kwani watz wa leo sio wale miaka sabini.hayo magazeti ya ccm na TBC1CCM, sitakagi hata kuangalia wala wanifunie nyama au karanga isije watoto wangu wapendwa wakasoma unafiki na Uongo wa wakina NAPE NA LOWOSSA.
Mama pole mana ukombozi umefika
 
Habari hii nimeichukua ktk facebook wall ya mchungaji Peter Msigwa na nimecopy na kupaste.

Mjane wa Mwangosi amekanusha vikali habari zilizochapishwa na gazeti la habari Leo kuwa eti yeye alilia rambirambi za Slaa. Akiongea alipokuwa nyumbani kwangu kwa uchungu amesikitishwa sana kuwa habari hizo hazina ukweli wowote na Kama angekuwa na Shida na Dr Slaa angenitafuta Mimi.

Kwanza ni jirani yake na pili anajua ukaribu wangu na Dr. Anasema kitendo hicho kimeamsha Msiba kwani kina lengo la kutaka Jamii imdharau. Anaomba watanzania kuupuza habari hizo na ameshangaa ni maadili gani haya ya uwandishi. Naomaba kuwasilisha

Haya ni maelezo niliyochukua kutoka ktk uzi aliouanzisha msemaji wa Chadema Molemo + picha









My take;
Kama gazeti la habari leo linaweza kupotosha umma namna hii kwa kutumia kodi zetu, basi kazi tunayo kama nchi.
Hawa wanataka kuteka akili zetu na kututoa kwenye agenda asilia ya kusubili ripoti ya mauaji. Janja ya nyani kwisa jua yeye. BHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAS!
 
Haya magazeti ya serikali yalishabinafsishwa na kuwa magazeti ya chama, nilivyosikia mara ya kwanza nkafikiri ni gazeti la UHURU kumbe ni Habari leo, anyway the difference between UHURU and Habari leo is their similarity!!!!
 
NILIKUWA SIJUI
kumbe CHADEMA ni chama cha babamkwe wake mbowe
ambae ni mzee MTEI...........DAAAH SIJUI TUNAKWENDA WAPI kama mtu na babamkwe wake wanamiliki chama,hahhahahahahahaaha CHEZEA MCHAGA WEWE
Kabla hata wadau humu hawajachukizwa na ubwege wako na kukutukana wewe mwenyewe UMESHAJITUKANA KWA KUONYESHA ULIVYO

 
Mbona na wewe unajipendekeza kudandia habari isiyo kuhusu?

Hivi P. Msigwa = W. Slaa?
Mbona anajipendekeza kukanusha issue isiyomuhusu au yeye Msigwa ndo aliyetoa ahadi?
 
Yan tangu asubuhi nilijua hii habari ilitengenezwa kwenye kiwanda cha uongo cha sisimweli.
 
Gazeti la serikali linaongea uwongo, viongozi wa serikali wana ongea uwongo, makamanda wa polisi wana ongea uwongo, wabunge wa magamba wengi wanaongea uwongo, msajili wa vyama vya siasa nae anaongea uwongo (lema hatakiwi arumeru)waziri mkuu anaongea uwongo (utetezi wa lema unakaliwa) raisi anaongea uwongo (ahadi kibwena kipindi cha uchaguzi), watoto 5200 wanadangaya majibu wanafaulu (uwongo) wakifika sekondari hawajui kusoma na kuandika! Tume ya uchaguzi inaweka vituo hewa vya uwongo, Taifa la uwongo na magumashi! Poor my country! Who has been witched you?!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Nchi hii ililogwa na mmoja maana wangekuwa wawili au zaidi wangeshauriana kulegeza dawa.
 
Back
Top Bottom