Mjane lazima atakaswe!

Maelezo yako si mabaya, ila hapo mahala uliposema kwenda kazini inategemea kama mwajili wake amekubali kumpa rikizo, kama hakuna uwezekano wa yeye mfiwa kutopewa rikizo basi anaweza kwenda kazini kama kawaida na uku hakitimiza masharti mengine ya eda.

Absolutely true, Mwenyezi Mungu hakalifishi nafsi ya mtu kwa jambo lililo nje ya uwezo wake. Hali na mazingira ya watu hutofautiana, na wapo ambao kweli hulazimika kwenda kazini au shambani. Ruhusa hii ni kati ya flexibilities zinazopatika ndani ya "Sharia" ya Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Qur-ani na Sunna. Thanks X-Paster.

Ningependa tu niongeze kwamba muumini wa kweli au hata mtu yeyote makini atagundua uzuri wa kipande hiki cha sheria. Katika nchi za kiislamu au waislamu kama Tanzania, labda Abdulhalim, October au Buchanan ndio watajidai hawawezi kulifahamu hili, na wakipewa utawala ndio itakuwa balaa maana wamezoea. Lakini katika sehemu nyengine kama Ughaibuni, tunatakiwa tuwe tunai-push sheria hii kidogo kidogo katika sehemu yake mtu anapofanya kazi na mwajiri wake. Yaani kama vile anavyoomba days off wakati wa sikukuu mbili za Eid na kuchukua 1hour lunch break siku ya ijumaa badala ya 45minutes na kui-compensate kwa kuchukua 20minutes badala ya 45 lunch breaks siku nyengine. Hufanya hivi mtu huku akiwa anajaribu kiasi awezavyo kuelezea(kuweka bayana) sababu na umuhimu wa anachofanya as a person (being professional as well as just a human being), nini maana na faida kwa jamii, n.k. kwa hoja na hekima.

Kama "all things considered" na anaweza kuchukua "likizo bila malipo", career break nk. Hii kama anaweza na anatia nia mahsusi inakuwa ni "dawah" kwa faida yake, dini yake na jamii nzima. Chukulia kujifungua ambacho ni kitu cha mara kwa mara kwa wastani wa kila miaka 3-5 kwa mwanamke kati ya umri wa mika 20-45. Hili nalo baada ya push ya muda mrefu serikali za nchi mbali mbali hivi sasa zina-legislate "Paid maternity leave" na wakati huo huo kazi (employment) yake inabakia pale pale, iweje jambo la kufiwa na mume ambalo hutokea kwa nadra tu katika maisha ya mwanamke, isitoshe la kuhuzunisha, asipatiwe legilslation ya kumlinda? Hili kama tunadai kuelekea ku-perfect jamii zetu, linawezekana kabisa????

Ashakum si matusi: Mfano, ikiwa movement za mabaradhuli kama Elton John wana-push their point of view, iweje muislamu awe embarassed to take take some hardships to push her point of view?. After all, Islam proves once again in this issue to be best-although it's enemies will detest it. All praise be to Allah, the Sustainer the Cherisher of the Worlds. And the Peace and the Blessing of Allah be upon his Messenger, Muhammad
 
Back
Top Bottom